Do you think you have a bad job?!think twice!

kweli kazi yangu nzuri japo kahela kake kadogo ila nina enjoy kuifanya!!
 
Hawa wanafanyia hobby tu hawa!!
 
me sijaelewa jamani nisaidien wapendwa

jamaa ametumbukia kwenye nanino ya tembo,labda mambo ya artificial insemination!mwingine kunako chamber ya maji taka nadhani anazibua!hao kwa kikwapa labda madaktari hapa jamvini mtusaidie!
 
Kwa mbongo a worst job isn't huku ni ilimrad mkono uende kinywani
 
mhh!! hakuna mwenye nafuu wote sawa tu.
 
duh!.....kunusa kwapa tena..kweli ni vema kumshukuru Mungu kwa kila jambo unaweza ukaona kama ww unafanya kazi mbovu duniani kumbe wapo wenzio wanusa vikwapa
 
duh!.....kunusa kwapa tena..kweli ni vema kumshukuru Mungu kwa kila jambo unaweza ukaona kama ww unafanya kazi mbovu duniani kumbe wapo wenzio wanusa vikwapa

Mimi naona bora kunusa kwapa kuliko hiyo ya tembo na kuzamia kuzibua uchafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…