Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 482
uchochezi na vurugu haziwezi kusaidia bali zitatuletea shida zaidi ya hizi tulizonazo!!! Tuacheni tuishi kwa amani na wala hatutaki tanzania izae wakimbizi!!! Nchi zote zinazotuzunguka zina vita na migogoro!!! Sasa huku kwetu kukitokea machafuko tukimbilie wapi? Au chadema munatuahidi mahali salama pa kutupeleka pindi pakitokea machafuko? Mbona chadema kila siku munaongelea vita na uasi? Sera zenu ni kumwaga damu za wa tanzania? Hivi hamuoni raha mpaka muzungumzie kumwaga damu zetu? Kila siku matishio! Munatoa siku saba kwa maafisa wa jeshi, yaani yale ya lyatonga mrema miaka ya 90 ndio sasa zimekuwa sera zenu za vitisho!!!
nahakika mwalimu nyerere angefufuka leo na kuona vurugu na sera hizi za chadema lazima angesema (siwezi kuwaachia mambwa watawale nchi yangu)!!!
asiesikia la mkuu huvunjika guu!!!
Bwa ha haha,
Omar bana, eti anamlinganisha Mbowe na Rostam
Unafiki na uzandiki wa kiwango cha juu kabisa toka kwa consultant wetu.
Ni ukweli usiofichika kwamba Dr. Slaa ana-uwezo wakujieleza kuliko JK. Na ni ukweli usiofichika kwamba Watanzania wanapenda mageuzi... ndio maana hata mwaka 2005 walimtegemea JK kwa mageuzi sana ndio maana alipata kura nyingi.
Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu kwamba ushindi hauwezi kuja kirahisi kiasi hicho... CHADEMA hawawezi kushinda kiti cha urais kwa sababu hizi.
1. Hivi wandugu Dr. Slaa anawezo kufika maeneo yote ya nchi kabla ya October 31st.
2. Hivi mwajua wahudhuria mikutano ni asilimia ndogo sana ya wapiga kura?
3. Hivi helcopter ya CHADAMA inayotua kwenye kijiji x kwa dakika 40 (kipindi cha shule ya msingi enzi zile) yatosha kweli kufanya waliohudhuria wote wabadili mwelekeo wake kwa % zote?
4. Mwajua kuna sehemu ambapo CCM imeonekana imefanya mambo, mfano kule Monduli, kule Rombo etc..
5. Kitendo cha CCM kuwa na wagombea ngazi zote ambao wanaomba kura za Mbunge na Rais wao ndio mwimba mchungu lakini wa kweli.
===>Ni kweli tutegemee CCM kutopata kura zaidi ya 70% kwa urais lakini la CHADEMA kushinda ni ndoto unless tusogeze uchaguzi hadi Feb 2011
una kilema cha akili , tatizo ni kwamba hujitambui!!
Where the heck is Rev. Masa, watu kama hawa hutakiwi kuongea nao kwa maneno .. ni wa wazito wa ubungo! Picha tu ndo wanaweza kuelewa!