Do you know who is JOSEPH KABILA?.....read the attached document | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do you know who is JOSEPH KABILA?.....read the attached document

Discussion in 'International Forum' started by Magezi, May 29, 2010.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  I was browsing the net and suddenly I found a strange report about the origin of Joseph Kabila.

  Download the attachment and read.
   

  Attached Files:

 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Thanks Magezi for this interesting booklet.

  I just started reading this and something rubs me the wrong way.

  I actually wanted to print this so I could read at leisure away from my screen, but I am beginning to doubt it is worth that. I see more prose than points, more propaganda of the hue of the Hima empire akin to an African version of "Protocols of The Elders of Zion" than purposeful punditry.

  1. I could be wrong, they say Joseph is an adopted son, there is no concrete evidence to dispute this paternity issue, and in itself it is of little importance baba ni baba whether biological or adoptive.The larger repercussion involves the level of credibility and integrity of the document. There is a resemblance between Joseph and Laurent Kabila that calls this "adopted son" assertion to doubt. Then again this might be due to a common look amongst men of Eastern Congo, maybe there is a lesser degree of "A Tanzanian cannot tell the Chinese apart and they all look similar to him"

  Au watu wanaokaa nyumba moja kwa muda mrefu huishia kufanana, hata kama ni watoto walio adopted kutoka familia za kibaiolojia tofauti (baloney?)

  Hebu nisaidieni

  [​IMG]

  [​IMG]

  2. They assert that Kabila never had a secondary education while it is known that Kabila went to Zanaki Jioni. Dang, of all the Schools Zanaki Jioni gets in the books of history for this one.

  Indeed they seem to know very little about Joseph Kabila's time in Tanzania.

  The booklet strikes me as strong on propaganda and short on facts.

  Wangetaka kujua Historia halisi ya Joseph Kabila wangemtafuta Sensei Massawe wa Zanaki aliyekuwa Karate sparring partner wake, now that I think of it inawezekana kabisa Kabila alichagua kwenda Zanaki jioni not so much kusoma Secondary education bali kufanya makaratee.
   
 3. n

  nndondo JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Nimeusoma huu waraka nimetaka kuzimia, asante sana JF sasa tunatakiwa ku deliberate, hii hali ni mbaya sana kumbe tumekua tunalala na adui mbaya kiasi hiki? sasa naona monster na shetani mkubwa kwenye uso wa huyu kaka. Tunawezaje kutafakari waraka huu ukatafsiriwa na kutandikwa kwenye magazeti ya kiswahili yenye wasomaji wengi kama mwanahalisi, raia mwema, tanzania daima? na pia tuka demand explanation ya wizara ya mambo ya nje ya kwa nini tunamuunga mkono kabila? haya ndio matatizo ya serikali legelege maana wakati wa nyerere hili lisingewezekana. Haya ni mambo ya usalama wa taifa sasa badala ya othman kufanya kazi hiyo wako busy kutaka kujua vigogo gani wa CCM wanampango wa kuhamia CCJ
   
 4. n

  nndondo JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  huyu mwenzetu kiranga ni kiboko kwa hiyo hataki kujifunza chochote anachoambiwa hata na wasomi ama wana congo wenyewe ili mradi tu kuna mtu alimwambai Joseph alisoma zanaki jioni basi huo ndio ukweli. Una matatizo kijana papara imekuzidi soma kaa tafakari fanya uchunguzi wako kama unauwezo huo ndio ufanya conclusion, unajua kama unalolijua wewe sio ndio jungu, hata ku summarize waraka wenyewe huwezi kwa sababu sio kweli kwamba waraka haukuzungumzia time yake tanzania, ume mention, na hawawezi kundika kila kitu kwa details unzaotaka wewe. kwa hiyo kuliko kutunyamazisha hebu acha mjadala uendelee ndio maana hapo juu wengine tumetoa changamoto ya kupanua utambuzi ili tujifunze zaidi juu ya hili. Kwa vyovyote vile hata kama kasoma zanaki jioni kama ni muuaji hatutaki kushirikiana nae.
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ukizungumza na wakongo wenyewe wanasema mkakati wa rwanda ni kuigawanya DRC na kuwa na eneo huru mpakani mwa rwanda na DRC ambalo litakuwa na kabila la mamluki wa rwanda. Yoote hii ni mikakati ya rwanda kutaka kuwazuia waasi wa kihutu walioko DRC ili wasirudi kuishambulia.
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Kati ya anayekubali kila kitu anachoona kwenye pdf kama ukweli, na anayeuliza maswali yanayojibu maswali yatakayoulizwa kuhusu hayo maswali nani ana papara?

  Umeona humility yangu hapo juu? Umeona doubt yangu hapo juu? Umeona uncertainty yangu hapo juu? Umeona probing yangu hapo juu?

  Mbona wewe unakuwa arrogant sana? Mbona wewe unakuwa sure sana? Mbona wewe unakuwa certain sana? Mbona wewe unakuwa trusting sana?

  Hebu Juxtapose the two, halafu fikiri tena.

  Sijasema kwamba Kabila malaika. Ninasema muandishi wa hiki ki booklet inabidi afanye kazi ya ziada kunifanya nimuamini, ama sivyo nitaona na yeye anatumia Machiavellian propaganda tu.
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Hili mbona linajulikana siku nyingi? Plus kuna version zinasema kwamba Watutsi wanataka kuitawala East/ Central Africa nzima, na Museveni na Kabila ni Watutsi , na kwamba kuna Watutsi katika serikali ya Tanzania wanafanya infiltration etc. Ndiyo maana nika mention "Hima Empire" hapo juu. Sasa kuna watu wanarukia kwa sababu wanaona kuna news katika hii pdf wakati hata hawajui historia ya uvumi wa "Hima Empire", let alone "The Protocols of The Elders of Zion" which I likened it to.

  Matatizo yangu ni juu ya the finer details za hii document.Hata kama ni kweli, inabidi iwe convincing.Kwangu mimi nikisoma hii document naona iko weak, imejaa ulimbwende na haina hard facts.

  This document could very well be 100% correct, but that does not mean that we have to let shoddy punditry pass undisputed.

  Challenge is the middle name of intelligence.

  Also see "No Plot for Hima, Tutsi Empire - Museveni" http://allafrica.com/stories/200204090297.html
   
 8. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  what? kuna watusi wananyemelea tz?
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Do you see what I am talking about now?

  Nani kasema kuna Watusi wananyemelea TZ ? To my knowledge huu ni uvumi usio msingi, na nimeandika hivyo hapo juu.

  Tunajaribu kuangalia ukweli uko wapi na uvumi/propaganda iko wapi katika hii PDF.
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  angalia hapo kweye kekundu, tafadhali tutake radhi watz, kuna watusi katika selikali ya tz wanafanya infiltration? hebu tutajie hao watu tuwarukie mara moja...mbona mnataka kututisha bwanaeee, hivi ni kweli?

  by the way, hii kitu imeandikwa nimepoteza muda mwingi kuisoma, nimeona inaonekana kama ina ukweli fulani ndani yake, lakini sitaiamini moja kwa moja kwasababu inaonekana imeandikwa na adui mkubwa sana wa joseph kabila, na lengo lake anataka kupata support ya international community kuuangusha utawala wa kabila......naomba mwenye data za kueleweka zaidi ya hizo ndo atuwekee.

  all in all, hayatuhusu, sisi ni watz, badala ya kushgulikia matatizo ya nchi yetu, badala ya kuhangaika na uchaguzi tuchague mtu wa maana kipindi hiki, haya yasitupotezee wakati. wakongo wana yakwao, na sisi tuna ya kwetu. sidhani kama wanyarwanda wanaweza kufanya chochote tz, kwasababu the moment tunakuja kugundua, watatembea kwa mguu hadi rwanda bila kupenda.
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Unajua kusoma wewe? Unajua kusoma katika context? Unajua comprehension wewe? Unaweza ku link sentensi moja na nyingine ili kupata maana ya paragraph nzima?

  Unajua "Hima Empire" ni nini? Unajua kwa nini nimeuita "uvumi"? Unajua "The Protocols of The Elders of Zion" ni nini? Unajua kwa nini nimefananisha uvumi wa "Hima Empire" na "The Protocols of The Elders of Zion"?

  A little modernity is dangerous indeed, a little knowledge is even more dangerous.

  Ubungoubungo angalia usije kuwa mmoja wa watu wanaorukia mambo bila werevu.
   
 12. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  mkuu, sijui kusoma, wala sijui kulink, nieleweshe we msomi tafadhali!
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  OK, vizuri. Your humility is charming and shows a backhanded intelligence that was much veiled in your original post. If indeed it is humility and eminence I am seeing.

  Let me break it down for you.

  Nilichosema ni kwamba, kuna uvumi usio msingi kwamba kuna Watutsi wanataka kutawala Afrika mashariki na kati, uvumi huu ndiyo msingi wa "Hima Empire theory" ambayo inasema Kagame na Museveni ndio viongozi walio implement hii plan, na hata katika serikali ya Tanzania kuna Watutsi wanaotaka kutekeleza hii plan.Nimesema huu ni uvumi usio msingi, kama uvumi uliopelekea kuuawa kwa wayahudi kwa kutumia kijitabu cha uongo cha "The Protocols of The Elders of Zion" ambacho Hitler alikitumia kama propaganda ya chuki dhidi ya Wayahudi kabla ya kuwaua.

  Nilichosema ni kwamba, tuyachambue mambo kiundani ili tusirudie makosa waliyoyafanya Wajerumani ya kukubali propaganda za kisiasa bila kuzichambua.

  In fact, nilichosema ni quite the opposite ya wanachoelewa watu wengine.Wengine - kama wewe- wanaelewa kwamba nimesema kuna Watutsi katika serikali ya Tanzania wanaotaka kuichukua serikali. mimi nimesema kuna uvumi usio msingi, unaoendana na Hima Emipre theory na "The Protocols of The Elders of Zion" ili kuwafanya Watutsi waonekana wana empire ambitions.

  Sasa mtu ukiwa huelkewi Hima Empire ni nini, kwa nini nimeita Hima Empire theory kama uvumi, kwa nini nimetoa hiyo link ya Allafrica.com inayomquote Museveni aki dismiss Hima Empire rumors, ukiwa hujui "The Protocols of The Elders of Zion" ni nini na ilichangiaje kuuawa kwa Wayahudi, ukiwa huelewi role ya propaganda katika mauaji ya halaiki ya Rwanda, unaweza kusoma kisentensi kimoja, kuki misinterpret, na kuona tofauti na kilichosemwa.

  Sikatai kwamba hiki kijibooklet kinaweza kuwa na ukweli, lakini aliyekiandika inabidi atuletee a more concrete case than this hodgepodge of incredible propaganda.

  Nilivyokuwa sekondari, years ago, nilikuwa mpenzi wa vitabu vya James Hadley Chase. Kuna kimoja kinaitwa "Believe this, you will believe anything"

  It is inevitable that part of this document carries some truth.Mtu hawezi kuandika out and out falsehoods like that. Lakini pia hii ni document ya kisiasa, wapinzani wa Kabila wa kisiasa wameiandika, kwa hiyo inabidi tujue ukweli uko wapi na propaganda zilizo subject to interpretation ziko wapi na uongo uko wapi.

  Kwa wale wanaotaka kulimeza pdf lote kama gospel truth, nawaambia kama alivyosema Chase.

  Believe this, you will believe anything.
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  natamani sana kuisoma hii habari but imekataa kufunguka kwangu...kama kuna mtu anaeweza kunisaidia niweze kuisoma ningefurahi sana
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Unayo Adobe Acrobat Reader? kama huna unahitaji kudownload na kuinstall.
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  OK, hongera kwa kujua mkuu. kwaheri!
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  oooh...hiyo sina, kumbe ndio sababu...asante kwa ushirikiano.....nitaidownload
   
 18. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hii article nimesoma but nothing worthy to convice me it is genuine. Unajua katika siasa kuna mambo mengi sana, Kama LD Kabila alikuwa akimuona huyu bwana ni mwanae regardless ni wa kumzaa au wa kufikia ni kigezo tosha cha kumfanya Kabila Jr kuwa rais provided amechaguliwa kidemokrasia na wakongo.

  Hizi conspiracy theory huwa haziishi hasa unapokuwa kwenye siasa, mfano kuna wakati Tanzania; Nyerere alizushiwa kuwa ni mnyarwanda (Mtutsi) wakati wa usuluhishi wa mgogoro wa Burundi(Watutsi na wahutu), Mkapa naye tukaambiwa na mtikila ni mtu wa Msumbiji.
   
 19. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Sio siri kuwa kuna watu wa asili ya Kitusi ambao baba zao walikuja siku nyingi kama wakimbizi na kuishi sehemu za mikoa wa Tabora na Kagera na sasa wana nyadhifa kubwa kwenye serikali yetu. Wengine ndio hao uraia wao ulileta utata enzi ya Mkapa na wengine walipewa ubalozi na Kagame mara alipoingia madarakani na wengine ndio wakina Kamanzi na Rutayisire waliokuwa waalimu IFM na UDSM respectively; baada ya Kagame kuingia madarakani wakatoroka na kurudi kwao!! Sasa kama watu wa usalama wa Taifa wangekuwa wanafanya kazi yao vizuri wangeweza kuwatambua hao watu walioinfiltrate serikali kwani inasemekana wapo mpaka kwenye baraza la mawaziri not to mention mashirika nyeti kama EWURA!! Hiyo ndiyo strategy ya kufanikisha BAHIMA empire!!
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Anayejua anajua hajajua, anayejua hajui angalau ameanza kujua.
   
Loading...