Sifa jisifie, wasiokuweza wachukie.
Mimi. . . nimejitahidi kupungua. . bado kama kilo 10 hivi na mie nivae size 4 nipate cha kiringishia zaidi.
My height i am glad that it's one of the feature that remain constant it never changes..Lmao!! wewe kweli hufai.... Kimebaki uni postie?
On a serious note: What is your best feature?
Mi nilikula jana, na leo kiporo!!Nimekula kuku na ubwabwa..acheni utani kabisa ninakoishi inapita hadi mwaka hamna aliyepata hiyo nafasi..so let me brag
mimi niko successful saana kwa kuangalia matatizo niliyopitia....
so najiona very successful sio kwa ku achieve much
but for surviving what i have been through....
nikitazama nyuma nasema....dah......life is good.....
Genuinely Impressive! Dah! Any woman would be proud to have such....
mimi niko successful saana kwa kuangalia matatizo niliyopitia....
so najiona very successful sio kwa ku achieve much
but for surviving what i have been through....
nikitazama nyuma nasema....dah......life is good.....
Mhh!!! The Boss umesahau uliniambia kuwa you have been told that you're a spiffy dresser and that when it comes to physical attractiveness, a few well endowed females have been quick to compliment on your looks saying that you're a handsome man.mimi niko successful saana kwa kuangalia matatizo niliyopitia....
so najiona very successful sio kwa ku achieve much
but for surviving what i have been through....
nikitazama nyuma nasema....dah......life is good.....