sasa rafiki unajificha nini? unadhani natania? hayo yapo sana tu, kama huamini mwulize AshaDii, aliahidi kurudi kwa ufafanuzi naona kasepa moja kwa moja, sasa sijui kama kwa siku ya leo ataonekana au ndo yupo mafichoni?
Mie sijatia neno lol! hapo nilikuwa nafanya "mazoezi" nyuma ya kiti hivyo nilikuwa nachungulia kama kuna wakuda lol! hahahahah.. AshaDii yuko busy anakaangiza mahanjumat ya siku ya wapendanao.

rafiki rafiki......
miziki kama hii nikiisikilizaga siachi kutoa machozi....... unampa teja kazi ya kubembeleza huku, lol!
sijui niendelee...... no, ngoja niishie hapa.
Kweli hii kwa hisani ya BAK wa JF to @FP, lol!