Do you dislike social media like i do ? I really dislike this stuff

...ww sio mwafrika???.. thamini lugha yako...
Ww umeona wap huyo mzungu akiandika swahil nenda quora uone..... ....nimesoma English ila toka nimerudi sijawah tumia English na hakuna nilichopungukiwa..... sababu nathami lugha yetu.....usiwe mtu wa kujidharau na kudharau vya kwenu.........au mzungu atakudharau kwa kukuona mjinga kwa kutumia lugha yake.....huku yako kuiona takataka......amka ww mtu mweusi......vyako n bora pia...
mkuu huo uzungu wako mwisho huko... hujanielewa hapo.. wakat sisi tunasoma shule za st kayumba tulikua hatuongei english bali kiswahili hvo kuitwa swahili speaker. matokeo yake ni kua sasa cjui hyo english..

nadhani unaelewa sasa nlichomaanisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom