mallaposa Member Joined May 27, 2014 Posts 5 Reaction score 9 Jun 11, 2014 #1 Tanzania,tanzania,nia yako ni njema sanaaaaa.....!!!! Attachments 1402464265414.jpg 45.3 KB · Views: 679
mallaposa Member Joined May 27, 2014 Posts 5 Reaction score 9 Jun 11, 2014 Thread starter #2 Kuna wakati nahisi kama ni kweli
N Namour Senior Member Joined May 27, 2011 Posts 183 Reaction score 59 Jun 11, 2014 #3 aisee ni yeye kabisa ina maana hakumbuki nyumbani,itafahamika tu dunia ni kijimtaa.
speedcom JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 320 Reaction score 179 Jun 11, 2014 #4 Mambo ya hela hayo mtu! Mbona tumemalizwa akili?
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Jun 11, 2014 #5 Ni yeye kabisa. Lakini picha ilipigwa lini?
Agogwe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 2,742 Reaction score 3,012 Jun 11, 2014 #7 Anglia uelekeo wa kivuli cha kiti na uelekeo wa mwanga ktk uso, pia mng'ao wa sura hauendani na picha ,Mdau tengeneza nyingine labda tutahis ni yeye
Anglia uelekeo wa kivuli cha kiti na uelekeo wa mwanga ktk uso, pia mng'ao wa sura hauendani na picha ,Mdau tengeneza nyingine labda tutahis ni yeye
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,913 Jun 11, 2014 #8 Daud Balali anakula bata visiwa fulani.ESCROW sijui huyu gavana wa sasa atafichwa wapi
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,700 Reaction score 4,126 Jun 11, 2014 #9 Agogwe said: Anglia uelekeo wa kivuli cha kiti na uelekeo wa mwanga ktk uso, pia mng'ao wa sura hauendani na picha ,Mdau tengeneza nyingine labda tutahis ni yeye Click to expand... kaka hii cheki pia upande wapili wa kiti kivuli kilipoelekea yaani hii haijawa edited ni full ukweli kabisa.
Agogwe said: Anglia uelekeo wa kivuli cha kiti na uelekeo wa mwanga ktk uso, pia mng'ao wa sura hauendani na picha ,Mdau tengeneza nyingine labda tutahis ni yeye Click to expand... kaka hii cheki pia upande wapili wa kiti kivuli kilipoelekea yaani hii haijawa edited ni full ukweli kabisa.
mallaposa Member Joined May 27, 2014 Posts 5 Reaction score 9 Jun 11, 2014 Thread starter #10 Some one send to me ila sijui kama ni yeye kweli au it wamefanya yao ila kwa feelings zangu fake.nahisi huyu bwana yupo. Dunia ni ndogo sana ipo siku kila kitu kitawekwa wazi na wakukikanusha atakosekana
Some one send to me ila sijui kama ni yeye kweli au it wamefanya yao ila kwa feelings zangu fake.nahisi huyu bwana yupo. Dunia ni ndogo sana ipo siku kila kitu kitawekwa wazi na wakukikanusha atakosekana
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jun 11, 2014 #11 Nani huyu namwona kama mzee wa visenti kwa mbaali..
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jun 11, 2014 #12 Kibo10 said: Nani huyu namwona kama mzee wa visenti kwa mbaali.. Click to expand... Kibo10 acha hizo bana mbona sura ya jamaa yetu tulieambiwa ameresti ini pisi,Daud balali Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kibo10 said: Nani huyu namwona kama mzee wa visenti kwa mbaali.. Click to expand... Kibo10 acha hizo bana mbona sura ya jamaa yetu tulieambiwa ameresti ini pisi,Daud balali
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,963 Jun 11, 2014 #13 Hata kama si yeye but ni mzima wa afya hajafa. Sijaona serikali mithili ya hii ya awamu ya nne.
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Jun 11, 2014 #14 Ukionana nae tu ukirudi bongo unauawa kama yule prof. aliyepigwa risasi Mbezi.
twatwatwa JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 2,066 Reaction score 421 Jun 11, 2014 #15 tomaso
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,451 Reaction score 9,974 Jun 11, 2014 #16 kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake...ngoja ale mema ya nchi..
juvenalymassawe Member Joined Feb 20, 2014 Posts 31 Reaction score 3 Jun 11, 2014 #17 Mmmm😃😃😃😃