Kuna watu utu wameupoteza kabisa wanataka kuishi kama mbwaUtazaa watoto kama umbwa?huyu na mama yake yule na mama yake utaweza vipi kuwa-manage kimalezi kama hauishi na mama zao?
Kutoa manii na kulea mtoto ktk njia sahihi itakayomsaidia baadae ni vitu viwili tofauti,maisha siyo simple kiasi hiko na ni rika tu linakusumbua kuna wakati utafika utajiona mjinga kuwaza hivi,unapoona vitu ktk jicho jepesi kama hivi elewa kuna siku mtoto utakaemzaa atabikiriwa na bwana wa mwanamke uliyemzalisha kwa sababu alikuwa karibu yake kuliko wewe mwenye mbegu yako.
Wao ndo wanafaidika zaidi na hizo ndoa kuliko wanaume. Wanawake ndoa kwao ni kama ajira, au kupata mtumwa wa kuendesha maisha yake.Hivi mbona wanawake wanataka sana ndoa kuliko wanaume?
Ah besty mbona wanisingixia sasa...mie wala sikutii presha mie nafuatilia tuu wee ulikuwa wasema huu mwake eeh huu mwaka haupiti bila kula pilau ππππWa kwanza wewe apo π
Umemaliza mkuu 100%, shida watu hawaoni mbali unangalia kesho wakat kuna kizazi kinakuja huko.Mnachokisema kinaweza kuwa kweli lkn hebu tufikiri leo mwanao bado mdogo miaka ishirini ijayo atakuwa na 25 na mpk 30 hataolewa sababu kila mtu kachukua ushauri huu kama muelekeo wa maisha.Ataishia kulalwa na kila mwanaume,akibahatika sana atazaa na mme wa mtu na umri ukiwa umeenda ataanza kutembea na vijana wadogo.Unachokikiri kwa ulimi wako hakitakuja kwako tu kitakuja hadi kwa kizazi chako dada,mdogo na watoto kuwa makini
Nakubaliana na wewe mkuu. Binafsi nina trauma kutokana na mahusiano/ndoa ila sifikirii kuwa na ndoa tena au hivi karibuni.Waty wengi sasahiv. Wanamatatizo ya afya ya akili kutokana na mambo wanayopitia ila hawataki kukubali ukweli
Nina mkaka tupo karibu aliumizwa na mkewake kias had kuzaa nje lakin sijawah msikia anasema wanawake wabaya na always anakubali alikosea na ataoa Tena soon ana kilakitu kuanzia nyumba biashara na magari na mtu mzuri Sana
Wengi trauma zinawasumbua wapate msaada wa kisaikilojia ila ni wabishi wanaona wako sawa
Ndio ajirq zao, mwanamke anajua kbs akiolew n amekata bima ya kila ktuHivi mbona wanawake wanataka sana ndoa kuliko wanaume?
Una division four alafu una nitag mtu na degree yangu... Are you insane ππππEti mnaishi na litoto la mtu kabisa mmefunga pingu za maisha mnadanganyana, mnapikiana michuzi na kulala pamoja.
Hauwezi hata kuwa huru, unakuwa mtumwa, unaingia kwenye kifungo. Hata ukitaka kujamba lazima uombe ruhusa: PLEASE MADAM, MAY I JAMBA? NOOO THANK YOU, DONT JAMBA.
Ukienda kazini analeta dume lingine linamdinya, ukifa anarithi mali zako na basha ake.
Wakati huo wewe upo kuzimu unaungua MOTO WA MILELE huku mkeo amechumishwa mboga kwenye kitanda chako.
Cc: Mbaga Jr Extrovert dronedrake Poor Brain The Icebreaker Kapeace Half american
And i presume utatupa ufafanuzi juu la kusudi letu kuwepo hapa dunianiMiongoni mwa misiba mikubwa inayosumbua vichwa vya wengi duniani ni KUTOJUA KUSUDIO LA NDOA na VIGEZO VYA MSINGI vya kumpata mwanandoa.Maafa haya ni matokeo ya sisi wenyewe kutojitambua. Hatujui tupo hapa duniani kwa lengo gani.
Huduma mwanawane huduma.Hivi mbona wanawake wanataka sana ndoa kuliko wanaume?
Shukrani sana Katibu MkuuOkay, let's make this as short as possible.
Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down.
Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu?
Only a desperate idiot gives a permanent solution to a temporary problem. Ni punguani au zwazwa pekee ndio anaelipa tatizo la muda mfupi solution ya kudumu.
Pussy? Kids? Cooked food? Vyote hivo unavipata kiurahisi kabisa kwenye dunia ya sikuhizi bila kutake risk ya kujifunga na litoto la mtu ambalo unaweza kuta ni professional slut.
Anyway, I promised to make this short. Kaa kijanja. Wenye ndoa wana watoto nje wewe unaenda kuoa ili upate watoto. Do not be an idiot, tafuta hela, watoto wako wakifikia umri sahihi unapewa waje waishi kifahari na wewe, usitafutie mwanamke na mpenzi wa mke wako hela.
Wako mtiifu,
Boyfriend wa mke wako na baba mzazi wa watoto unaowalea,
Teslarati.
πππ We baba jishikilie sawaa? mi mwenyewe msomi nina DIPLOMA YA KUVUNA ASALI sawa?Una division four alafu una nitag mtu na degree yangu... Are you insane ππππ
Mi nimejishikilia na nimeweka lock kabisa...πππ We baba jishikilie sawaa? mi mwenyewe msomi nina DIPLOMA YA KUVUNA ASALI sawa?
chuo chetu kiko nyuma ya ubungo plaza mkabala na supermaket.... naomba uwe na heshima na wasomi wenzio tukiongea sawa? π§diploma yako ulipata chuo gani..? ππ
Asali mnavuna vipi yaani kuvuna asali lazima usomee mkuu..chuo chetu kiko nyuma ya ubungo plaza mkabala na supermaket.... naomba uwe na heshima na wasomi wenzio tukiongea sawa? π§