Kutafuta pesa bila kua sehemu utulivu sidhani kama utafanya vizuri nachoamini mm tunapokua na mtu sahihi hata utafutaji unatafuta ukiwa ktk mood Safi lkn ukiwa na stress lazima uwe wrong.Huo muda unamtafuta (probably hutompata) ukiutumia kutafuta hela na mafanikio zaidi na kujijenga utajishukuru baadae
Hakuna asiyependa kuwa na mtu sahihi ila kwa dunia ya sasa mambo yamekuwa ni magumu mno ktk kumpata huyo mtu sahihiKutafuta pesa bila kua sehemu utulivu sidhani kama utafanya vizuri nachoamini mm tunapokua na mtu sahihi hata utafutaji unatafuta ukiwa ktk mood Safi lkn ukiwa na stress lazima uwe wrong.
Utulivu is what you define.Kutafuta pesa bila kua sehemu utulivu sidhani kama utafanya vizuri nachoamini mm tunapokua na mtu sahihi hata utafutaji unatafuta ukiwa ktk mood Safi lkn ukiwa na stress lazima uwe wrong.
Labda kwa sababu ndiyo sehemu pekee wanapofufukia na kujitutumua... Ajabu wanazitaka sana ndoa ila sio wao kuwa wake ndani ya nyumba [emoji19]Hivi mbona wanawake wanataka sana ndoa kuliko wanaume?
Ndoa kwa mwanamke ni ajira ya kudumu,stuka mkuuHivi mbona wanawake wanataka sana ndoa kuliko wanaume?
ππNdoa kwa mwanamke ni ajira ya kudumu,stuka mkuu
Hapo sikupingi baadhi wanawake wengi hawajielewi kwakweliHakuna asiyependa kuwa na mtu sahihi ila kwa dunia ya sasa mambo yamekuwa ni magumu mno ktk kumpata huyo mtu sahihi
Mkuu mimi nagombaniwa na wanawake.Aaah mkuu Ina maana unataka kusema kwamba ww hupendwi? Sema labda hujapata mtu alie sahihi tu lkn ungepata usingethubutu kusema hivyo vile tu wanawake wenye baadhi wanazingua hasa kwa karne hizi
ππMkuu mimi nagombaniwa na wanawake.
Lkn mimi mjanja. Sina ushamba wa wanawake.
Siku si nyingi tu kuna mwanamke nilikua nakula kula na nikitoka basi natoka nae na ofisi zetu zipo ghorofa moja. Sasa kumbe kuna rafiki yake akaanza kumjaza maneno kwambi mimi ni playboy mara hv mara vile. Nikaona hadi chats zao ila sikuongea kitu sababu nawajua wanawake.
Mwanamke kaanza kuleta za kuleta nikapiga chini. Nashangaa mwenzake anaanza kujilengesha na ninapoongea usiku huu yupo hapa katoka kuchezea bao 3 swafi kabisa.
Sijasema usiwe na madem, nasema usioe