Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,485
- 5,917
Peace be upon you
Let's go straight into the topic.
Did non-human animals have Souls? Yes, they have it.
We can try to analyze it through two definitions of the word "Soul".
1. Soul - is the spiritual part of a human being or animal, regarded as immortal.
They believe death is just one step in a soul's journey through the universe.
2. Soul - Is the part of you (yaani wewe) ambayo imebeba your mind (akili), character (tabia), thoughts (mawazo) pamoja na feelings (Hisia).
A little bit of explanation in Swahili:-
Kwenye definition no.1 ya hapo juu kuhusu Nafsi/Soul unaweza ukaona kuna maneno mawili ya muhimu yaani Human Being pamoja na Animal. Hii inaonyesha kwamba human being pamoja na non-human being animals wote wana Nafsi/Soul.
Kwenye definition no.2 ya Nafsi/Soul, kwamba Nafsi imejumuisha na kubeba uwezo wa akili wa kiumbe hai. Kwa kushikilia tabia, hisia, mawazo, kufikiri, kumbukumbu n.k.
Hata maandiko matakatifu yametufunulia hilo kwenye kitabu cha Mithali 23:7 "Maana aonavyo nafsini mwake ndivyo alivyo. Akumbia, haya kula, kunywa, Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
Hitimisho: Mwanafalsafa nguli wa Ugiriki ''Aristotle'' alisema Nafsi ndiyo "msingi wa maisha". Hakimaanisha kwamba kila chenye uhai basi kina nafsi iwe mimea au wanyama. Bila ya Nafsi/Soul hakuna Uhai.
Thanks for being here👍