DNA Test

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Nomba kujuzwa namna na taratibu za kufanya
DNA test.
kwa ufupi sababu ni kutambua baba wa kibayojia wa mtoto
 
mahakama ndiy inaotoa ruhsa hio aad ya mlalamikaji kufik apona uomba hilo litendeke
 
Hata ukienda kupima watu wa ustawi wa jamii hushirikishwa hivyo lazima utaambiwa huyo ni mwanao kwani wanahofia maisha ya yule mtoto wakisema siyo wako, je nani atamuhudumia na kama ndiyo upo kwenye ndoa usijisumbue kabisa utapoteza muda na pesa zako.

Nomba kujuzwa namna na taratibu za kufanya
DNA test.
kwa ufupi sababu ni kutambua baba wa kibayojia wa mtoto
 

upo nak akili nyingi sana mkuu wangu maana hiki kitu kipo wazi...na tukienda wote wawili je itakuwaje?
 
Kwani huyo ni mkeo au ni msichana umezaa naye? Kama ni mkeo nakuomba ujikaze kisabuni kitanda hakizai haramu, kama ni mpenzi wako mlizaa naye wewe mchukue mtoto mpeleke kwa mama yako au shangazi yako akimwangalia atakwambia tu kuwa ni damu yako au la, haya mambo ya kwenda kupima unaweza ukawa kama Michael Jackson bure.

upo nak akili nyingi sana mkuu wangu maana hiki kitu kipo wazi...na tukienda wote wawili je itakuwaje?
 
unatakiwa wewe ....mama wa mtoto....na mtoto ilikutoa DNA zitakazotumika kufanya comparison
 
kupima kupo pale pale tuna siyo lazima uanzie ustawi wa jamii hata kuna mahakama na mawakili pia ikishindikana unapanda hapo Nairobi ni gasta tu na awana longo longo kama izi za kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…