VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,486 Reaction score 1,451 Aug 2, 2025 #1 Hivi, swali hili linalenga sana wanaume. Ukimkataa mtoto, na mwisho wa siku mahakama inaamuru kipimo cha DNA kifanyike, mtoto anakutwa wa kwako, akikuwa, utamueleza nini?
Hivi, swali hili linalenga sana wanaume. Ukimkataa mtoto, na mwisho wa siku mahakama inaamuru kipimo cha DNA kifanyike, mtoto anakutwa wa kwako, akikuwa, utamueleza nini?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,651 Reaction score 1,251,048 Aug 4, 2025 #2 Ngoja waje wajuzi