Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

Huyu msangi ni muuji wa kawaida na ni tabia yake. Kumtambua ni mwanzo mzuri wa kuanza mapambano yetu. Huyu ni adui namba moja wa madaktari na familia yake ni adui namba mbili. Kama aliazimia kuua na akaishia kutesa, kung'oa jino bila ganzi, kung'oa kucha, ni unyama tosha. yeye katumia bunduki, sasa ninyi madaktari bunduki yenu ni sindano. Msangi popote atakapotokea mdungeni sindano. hafai na hatumwihitaji.
 
Mh hili swala ni zito sana,kama ni kweli basi askari police wakiongozwa na IGP hawatufai watanzania,wamefanya hvy kumlidhisha nani?aliye leta usemi huu za mwizi ni arobaini alikuwa na akili sana na bado wataumbuka sana!ila kikubwa hapo coz mgonjwa wetu bado anaumwa sio busara hao askari kwenda kujulia hali wasubili apone ili awaumbue vizuri!
 
Huu ni UNAFIKI MKUBWA na USALITI wa NAFSI YAKO na kwa UMMA wa WATANZANIA.
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)

Ulichukua hatua gani kama mzalendo...utapishanaje na mwizi mlangoni. Kama ni kweli UMEJIDHARIRISHA, na unastahili adhabu! Unategemea nani wa kupigania ustawi wetu kama sio mimi na wewe? Au unalinda kibarua chako, kwa gharama ya vifo vyetu! Fichua hekima yako, na si upuuzi wako! Umejidharaurishwa sana, we si askari wa moto vitani, hautufai.
Mungu wetu anaita!
 
Wewe Kama ulikuwepo wakati hayo yanatokea ulifanya NINI?

Usilete mineno ya PROPAGANDA ZA KIHUNI

Mtu alisikika akiongea na simu tu akatandikwa ; iwe huyu anayedaiwa wallet na simu???

JAMANI

LET US POST SENSIBLE THREADS

Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)
 
Jamani tuhakikishiane habari hizi atiiiiiiiiiiii.... Isijekua na aliyeandika anataka kututeka tuuuu! Plz jamani unauhakika ulikuepo wewe sosi?
 
Sioni sababu kwanini Waziri Mwinyi hahusiki katika hili. Katoka Jeshini kaingia Afya na wahuni wenzie. Kama Kova kaunda kikosi kazi nashauri kianze kwa waziri wa AFYA. Hakuna kuficha mambo.!!
 
hii thread ina uongo mwingi. kama shahidi ni wewe mwenyewe, jitokeze kwenye vyombo vya habari useme kwa uwazi kisha uende polisi...

tuach kudanganyana ndugu zanguni
Ungekuwa wewe ungekwenda kwenye vyombo vya habari?au unaongea tu tujue nawewe upo?wanaweza kuuana viongozi sembuse yeye mtu mdogo akajisemeshe kwenye vyombo ambavyo mwisho wake kifo kisichokuwa cha
Mungu.Acha kuwm bolizozo kama nchi hii huijui au vinginevyo na wewe ndo wale2
 
Kwa jijuavyo mimi, Utaratibu wa Idara ya Usalama wa Taifa huwa ina watu wametapakaa sehemu mbalimbali, Maofisi ya serikali hata watu binafsi, Shuleni, Vyuoni, Mahospitalini,Taasisi mbalimbali;orgaizesheni tofauti, ndani ya majeshi yote, ili wapate taarifa zao za kishushushu. Hivyo basi kati yao hao Madaktari, wauguzi,wafagizi, na wahudumu wengine ni miongoni mwao.
Napatwa na shaka kama hadi muda huu huyo daktari ULIMBOKA hajawekewa sumu kwa njia yoyote ile.
 
Nani nimesikia kumbe ni kweli usalama ndio wanahusika
Ukisema usalama unaanisha POLISI au USALAMA!!Tanabaisha wazi manake POLISI ni usalama kwa maana ya lugha lakni haipaswi kutamkwa Usalama wakati kuna matumizi ya neno POLISI kwa ujumla wake.Usichanganye USALAMA kuwa POLISI.
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.


Ahhhhhh, nimesikia eti ni yule baunsa anayekaaga nyuma ya Dr. slaa!!!! Jamani mnataka kuchafua jina la CDM nyie, mmetumwa nini!!!???


Ukiona mtu mzima kama wewe anatambaa kama mtoto mdogo kuna kasoro kubwa ya akili yake. Kwenye msiba kama huu we unaleta mzaha, basi wewe ni mchawi.
 
Back
Top Bottom