BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 4,928
- 10,724
Anamfunika mama yake?Hata anavyoliongoza Bunge unaona kabisa huyu ni msomi wa kisawasawa.
2025 twende na hiki chuma. Tusipoteze tunu adhimu kama hii.
Kwa mbali sana.Anamfunika mama yake?
Mkishavimbiwa na mahede mnaandika upuuzi. Punguza kutumia akili ya tumbo kuandika yaliyopo kichwani.Huyu dada ni kichwa haswa, amenyooka kiakili kama rula. Hababaiki wala hababaishi.
Wakili Msomi Dr. Tulia Ackson atatufaa sana mwaka 2025. Samia akae kando atupishe tujipatie chuma hiki cha kisheria.
Sijaona mwanamke mwingine yeyote nchini mwenye uwezo wa kitaaluma na kisiasa unaofua dafu kwa Dr. Tulia Ackson.
Huyu msomi huwezi kumfanisha na akina Jenista Mhagama waliopata madivisheni ziro, au sijui Halima Mdee. Hiki ni chuma kweli kweli.
Hata anavyoliongoza Bunge unaona kabisa huyu ni msomi wa kisawasawa.
2025 twende na hiki chuma. Tusipoteze tunu adhimu kama hii.
Naunga mkono hoja, binafsi sihitaji tena Rais Mwanamke.Hafai kuwa Rais wa taifa hili,Mama Samia ndo Rais wa mwisho mwanamke katika taifa hili.
Lisu ni mtu mmh hafai kabisaTulia anafaa, tundu lisu anafaa ila aachane na huyo Freeman Mbowe
Uko sahihi kabisa.Hafai kuwa Rais wa taifa hili,Mama Samia ndo Rais wa mwisho mwanamke katika taifa hili.