DOKEZO Dkt. ******* tafadhali tulia ofisini, JKCI inaharibika

DOKEZO Dkt. ******* tafadhali tulia ofisini, JKCI inaharibika

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ukifanya ulinganisho, Benjamin Mkapa ni Best kwa huduma
 
Acha masihara!! Huwezi linganisha Hivi vitu!! Hao Benjamin hospital wanawapa wateja wao rufaa kuja Jakaya kwa Dr *******!!
Nimezungumzia utoaji huduma, simaanishi aina ya huduma. Najua JKCI ni taasisi mahsusi ya magonjwa ya moyo
 
Mtu mwenyewe jina la *******(matusi)Hospitali Ina jina la mtu anaehisiwa kuyumbisha mhimili mkuu,Unatarajia nini hospitali kuzungukwa na mikosi mikosi.
 
Dkt. ******* tafadhali Tulia ofisini Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), nikueleze.

Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagera ana lugha chafu sana.

Tuanze kwenye kupima BP wahudumu hutoka kila baada ya kupima watu kumi.

Pharmacy kumeoza mtu wa computer huwa anachezea game badala ya kuandika Ankara ,Watoa dawa hutumika sàa moja tangu uwafikie.

Mrudisha kadi yule mwenye miwani ana maudhi sana hujiona kama jogoo mbele ya tembe anatoa kadi Moja Kisha simu na kuongea na wageni wake muda mwingi

Maabara ya ISO sawa na kibanda cha chips.

Tulia ofisini Wacha drama za akina Makonda na wanasiasa kuwa professional

Wakatabahu

Mteja wenu wa miaka mitano nikilea moyo wangu bila kuambiwa una shida gani.
Ebu kunywa maji mengi kwanza halafu utulie, then uje utueleze venye mambo yalienda nyuma ya tent!
 
Nimeshtuka ******* na hapa nipo kwa foleni kumuona Dr wa moyo nadhani BP itakuwa juu kingese
 
pole sana ndugu unakwenda hospital halafu watoa huduma wanakuona kama kero. Hili tatizo nimeliona sana kwenye upande wa serikali ndio maana watu wanaona bora aende duka la dawa.
 
Kipindi ha utawala wa JPM JKCI ilikuwa sehemu bora kabisa kupata huduma, wafanyakazi walikuwa wanatimiza majukumu yao kwa weledi wa hali ya juu sana. Namkumbuka sana Dr. Shemu, alikuwa anatoa huduma bora kabisa.
 
Back
Top Bottom