Dkt. Slaa: Magufuli alipambana vema na ufisadi, sasa umeanza kurejea

Hata kama alibaki mwenyewe, haijalishi! Lakini waulize akina Lugemalia na Seith, watakwambia walichokipata!
Alitaka awalazimishe wampe pesa za deal kupitia DPP Rugemalila alikataa na sasa yuko huru....Seth alikubali lakini aliishia kumpa 25 million pekee!
 
Umeona sana ulivyokuwa mwizi na wewe!, unashobokea wizi!??
Daah! Mkuu mimi kapuku tu hata kula kwa urefu wa kamba yangu siwezi! Sishobokei wezi, ila kinachonikera ni kum brand Magu kama alikuwa mwema saaana na alichukia sana wezi...si kweli nae alipiga tu kama waliomtangulia na watakao kuja baada yake!
 
Hizi ni propaganda za kisiasa!, JPM hakuwa mwizi! Amekaa kwenye system wezi aliwajua na mbinu zao!
 
Tayari nayeye ameanza kuona madhaifu ya Hayati?? maana hapo nyuma hakuwahi kuyasema.

Au mwenzetu huyu ameziba maskio ripoti ya CAG?

Au ni wivu kwa sababu wanaokula ni wengine na sio miongoni mwao?
Umewahi kusikia Lema akisema madhaifu ya Mbowe? Mbona ni kanuni rahisi tu? Kama kuna kidume aseme madhaifu ya boss wake tuone
 
Dkt. Slaa: Pamoja na madhaifu yake Rais Magufuli kama binadamu mwingine lakini katika eneo la kupambana na ufisadi ni sifa kubwa ambayo tunapaswa kumpa kwani amelifanyia kazi kwa kiasi kikubwa, japo kwa sasa nasikitika kuona ufisadi unaanza kurejea.

Namuomba Rais wangu Samia Suluhu alitazame suala la ufisadi, kwani tulishapiga hatua katika ufisadi. Ufisadi ukirudi hata wawekezaji watakimbia ni vizuri Rais awe makini Kwa kuwa Rais Samia anaongea kwenye kalamu, kalamu yake ifanye kazi zaidi.

Pia Balozi Slaa ameongelea uchaguzi mkuu wa 2010 ambapo amesema Chadema ilimuandaa Samuel Sitta kugombea Urais kupitia Chadema lakini mipango ikatibuka dakika za lala salama hivyo yeye akashtukizwa kuwania nafasi hiyo. Kuhusu 2015, amesema aliandaliwa kuwania nafasi hiyo tangu Februari ya 2015 japo haikutangazwa na yeye kukosa nafasi baadae haikuwa sababu ya kuondoka.

View attachment 2199138
Huyu Babu chizi yaani magufuli yule ilimfukuza CAG KWA kufunnua maufisadi take, alafu akatumia mitutu kuficha siri
 
CAG ni ccm kindakindaki.
Ni lazima uwe imara hapo juu kujua ninachoeleza.
Hivi CAG wa sasa aliteuliwa na nani? Unajua report yake ya kwanza ilikuwaje? Nilisima report yake ya kwanza, nikasoma ya pili na pia hii kama sikosei ni ya tatu. Ripoti zote hizo ni msumari wa moto na ya kwanza nadhani alimkabidhi JPM na ya pili tuliambiwa na Zitto kwamba ilikuwa tayari wakati JPM yupo na ingekabidhiwa kwake kama ilivyokabidhiwa kwa SSH. Ripoti zake mimi nazisoma naona jinsi zilivyo na weledi.
 
Back
Top Bottom