inaweza kuwa na ukweli kwa mbali maana leo saa 4:47:39 usiku nimepata mes kwa njia ya simu mtumaji JMKIKWETE inasema hivi
... "mimi JAKAYA M. KIKWETE. Nakutumia meseji hii kukuomba kura yako kesho. Katika miaka mitano iliyopita, umenipa heshima kubwa ya kuwa Rais wa nchi yetu. Nakuomba unipe tena heshima hiyo ili niendelee kukutumikia na kulitumikia taifa na watu wake..."
MY TAKE kama anauhakika wa kushinda kwa kishindo, kwanini mahangaiko yote haya? Nadhani UWT utakuwa umemtonya mzee siku zako za kula kuku ikulu zimeisha.