Dkt. Slaa atua na kutoa maoni yake kupitia Radio One kuhusu hali ya siasa nchini

Dr Slaa na Zitto kabwe ni watu waliokuwa makini na ushawishi mkubwa sana ktk siasa za vyama ktk enzi zao na nakiri ya kuwa hata mimi pia walinishawishi sana kuingia kwenye siasa za vyama, ila tangu wote waache ile taswira yao ya mwanzo nami nimepoteza kabisa ladha ya siasa za vyama, na mbaya zaidi hata CDM ndio km vile imepigwa ndege wa macho na kupoteza uwezo wa kuona wapi wanakwenda. Zitto Kabwe ndio kapotea kabisaaa, ila Dr. Slaa bado ana uhai japo si msaada tena kwa CDM.

Na, katika mambo aliyoyazungumza Dr, Slaa dhidi ya wapinzani TZ hata Prof. Kitila Mkumbo alikwisha andika waraka wake HUMU JF mwaka 2014 (kama sijakosea) juu ya masuala aliyoyashauri ndani ya CDM kipindi akiwa CDM bado ila waliyapuuza na yanawatafuna time after time. Kwa hali hiyo bhac kuna haja kubwa ya chama kujitathmini na kufanya mabadiliko ili kujizatiti na sii kutegemea kauli za mihemko & hisia pekee
 
Hawawez kukuelewa, watakwambia huna akil na unasubir uteuzi...Makamanda hoyeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia ya uzinzi inaondoa akili, imeandikwa kwenye vitabu vitakatifu " afanyaye uzinzi hana akili"
 
MTU smart anapelekeshwa na kademu ka mtaani
 
Mwambieni huyo Dr Mihogo awashawishi CCM watunge sheria ya uwepo wa Tumehuru hafu muone watapata kura ngapi!!!
 
Cha kufurahisha Dr Slaa na Lowasa wote kwa sasa ni wanaccm hata kama hawatamki hivyo hadharani
 

Siku zote mpuuzi ni wa kupuuzwa.
 

Ila kumbe alikuwa ni kachero wao mkuu na kilichotokea yupo huko huko kwenye asili yake.
 
Hana mvuto tena
 

Huyu Mzee ni kifaa sana na Mzalendo wa kweli aliyekataa kula matapishi yake. Chadema kweli hawaambiliki.
 
Prof na Dr wa Tz ni notorious kwa kubadilika, siku hizi ni Dr Si-raha zamani Dr Si-laha....wapo walionielewa...

Everyday is Saturday...................
 

Kwa utawala huu hata kama slaa bado angekuwa chadema angefeli tu au angekuwa jela

Tatizo sio chadema imedorola but mfumo mzima wa awamu ya tano kwa upinzani ndio shida

Awamu ya nne kwa kesi hii ya wakina Mbowe kungekuwa na maandamano makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…