SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Asante Wajumbe wa CCM wilaya ya Siha kwa kumpeleka LIKIZO Dr wetu wa tiba asili
Alikuwepo Jimbo la Siha (Mstaafu).Kuna dr.shika mwingine ukimuondoa marehem wa 900 itapendeza?
Asubiri uteuzi Mwenyekiti wa Bodi ya ParoleKujikomba kote
Ova
Asante studioSukuma ndani 🙏
Miaka 10 ya taabuMwendazake hayupo hana la kufanya
Mwinjilisti Mwanri 🙏Sukuma ndani 🙏
Anamzungumzia MollelKuna dr.shika mwingine ukimuondoa marehem wa 900 itapendeza?
Mmh hyo huko hafaiAsubiri uteuzi Mwenyekiti wa Bodi ya Parole
Alikuwepo Jimbo la Siha (Mstaafu).
Dr. Mollel anatokea jimbo gani?Kuna dr.shika mwingine ukimuondoa marehem wa 900 itapendeza?
Moleli msaniiKuna dr.shika mwingine ukimuondoa marehem wa 900 itapendeza?
Huyu ndiyo mbunge wa manzoni kabisa KUUNGA MKONO JUHUDI.Arudi tu Selian hospital ,akatibu