Dkt. Shein amtisha Maalim Seif

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,745
239,398
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar , Dk Ali Mohamed Shein amesema hakuna kiongozi yeyote wa kisiasa nchini anayemuogopa.

Aidha , Dk Shein ambaye pia ni Rais wa Zanzibar ameahidi kumchukulia hatua mtu yeyote atakayevunja sheria za nchi .

Chanzo: Nipashe .

MyTake , Zanzibar kunaanza kupambazuka .
 
kwa kinachoendelea zanzibar hakipendezi. tunaomba jumuiya za kimataifa ziwawekee vikwazo vya kiuchumi viongozi wote wa zanzibar na hata ikiwezekana kuzuiwa kusafiri nje ya nchi...
 
Huyo madevu alikataa marudio ya uchaguzi, na sasa anapita kuharibu amani ya Z,bar, kwani nani alimwambia awakataze wapemba kupiga kura?
Lilikuwa kosa kubwa alilofanya Maalim, sasa hivi anajiandaa kuwa AL shabab
 
Zanzibar wa heshimu maamuzi yao ya mara ya kwanza... Kwan kama wamahisi ni makosa kuwa na Dr. Shein kwann wapige kura Kwa mara ya pili
 
Lilikuwa kosa kubwa alilofanya Maalim, sasa hivi anajiandaa kuwa AL shabab
Hivi kulikuwa na sababu gani kurudia uchaguzi wa Zanzibar ? Nitajie 3 tu , halafu nionyeshe kifungu cha katiba kinachoruhusu uharamia huo .
 
na0na anataka vita cha kufanya n kuitisha mazungumzo katka jumiya ya kmataifa isaidie hl
 
Hata wa marudio ulikuwa halali.
Wapiga kura waliojitokeza walikuwa 58750 ( kuna uzi humuhumu jf ) , mshindi kapata kura 299,000 ! Zimetoka wapi ? Unajua kuna dhambi ccm inafanya hata shetani anashangaa ! Yaani hata wananchi wangekuwa mazuzu kiasi gani ? Si kwa style ya kishamba namna hii.
 
Hizo zako ni kelele sio facts.
 
Wapiga kura waliojitokeza walikuwa 58750 ( kuna uzi humuhumu jf ) , mshindi kapata kura 299,000 ! Zimetoka wapi ? Unajua kuna dhambi ccm inafanya hata shetani anashangaa ! Yaani hata wananchi wangekuwa mazuzu kiasi gani ? Si kwa style ya kishamba namna hii.
Wewe unaamini takwimu za uzi ulioko JF na sio za ZEC? Nakubaliana na E Lowassa kuwa elimu, elimu, elimu.
 
kwa kinachoendelea zanzibar hakipendezi. tunaomba jumuiya za kimataifa ziwawekee vikwazo vya kiuchumi viongozi wote wa zanzibar na hata ikiwezekana kuzuiwa kusafiri nje ya nchi...
Kwani wanasafiri bila kibali cha Ikulu?
 
Back
Top Bottom