Tunamshukuru sana Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kututembelea Chamwino leo tarehe 31 Agosti 2025, na kutupa matumaini pamoja na dira ya maendeleo.
Tunaendelea kukuuombea kwa Mwenyezi Mungu afya njema, hekima na nguvu katika safari yako ya uchaguzi 2025-2030 Tanzania.
Umoja na Maendeleo