Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 553 Reaction score 517 Jul 27, 2026 #1 Kaya 470,195 zilizokuwa masikini wa kutupwa, zaaga umasikini, zajitegemea Watu wanaomiliki makazi bora nao waongezeka, fedha TASAF zikiongezwa Ni mwendelezo hatua za kusaidia familia masikini hadi kwenye elimu ya juu
Kaya 470,195 zilizokuwa masikini wa kutupwa, zaaga umasikini, zajitegemea Watu wanaomiliki makazi bora nao waongezeka, fedha TASAF zikiongezwa Ni mwendelezo hatua za kusaidia familia masikini hadi kwenye elimu ya juu