GE2025 Dkt. Rweikiza aongoza kura za maoni Bukoba Vijijini, Faris akataa kusaini fomu ya matokeo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Bukoba Vijijini kimetangaza matokeo ya uchaguzi wa kura za maoni ya wabunge wa Jimbo hilo ambapo aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Dkt. Jason Rweikiza ameongoza kwa kupata kura 6,465 huku mgombea mwenzake aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM, mkoani Kagera, Faris Buruhan akifuatia kwa kupata kura 4,619.

1754383500485.png
Akitangaza matokeo ya kura hizo usiku huu wa kuamkia Jumanne Agosti 5,2025 katibu wa CCM Wilaya ya Bukoba Vijijini mkoani Kagera,Jesca Ndyamkama amesema kura zilizopigwa ni 11,682 na kura 100 zimeharibika.

Amewataja wagombea wengine ni Fahami Juma(239),Asted Mpita(124),Edmundi Rutaraka(89),na Philebart Bagenda(44).

Faris,Baada ya kutangazwa matokeo hayo amepata nafasi ya kuongea na vyombo vya habari huku akitaja kutoridhishwa na matokeo hayo na kusema yaligubikwa na vitendo vya rushwa jambo lilompelekea kutosaini fomu za kukubaliana na matokeo, akisema kuwa tayari ameanza hatua za kupeleka malalamiko kwenye chama ngazi ya mkoa.
 
Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Bukoba Vijijini kimetangaza matokeo ya uchaguzi wa kura za maoni ya wabunge wa Jimbo hilo ambapo aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Dk Jasson Rweikiza ameongoza kwa kupata kura 6,465 huku mgombea mwenzake aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM, mkoani Kagera, Faris Buruhan akifuatia kwa kupata kura 4,619.

Akitangaza matokeo ya kura hizo usiku huu wa kuamkia Jumanne Agosti 5,2025 katibu wa CCM Wilaya ya Bukoba Vijijini mkoani Kagera,Jesca Ndyamkama amesema kura zilizopigwa ni 11,682 na kura 100 zimeharibika.

Amewataja wagombea wengine ni Fahami Juma(239),Asted Mpita(124),Edmundi Rutaraka(89),na Philebart Bagenda(44).

Faris,Baada ya kutangazwa matokeo hayo amepata nafasi ya kuongea na vyombo vya habari huku akitaja kutoridhishwa na matokeo hayo na kusema yaligubikwa na vitendo vya rushwa jambo lilompelekea kutosaini fomu za kukubaliana na matokeo, akisema kuwa tayari ameanza hatua za kupeleka malalamiko kwenye chama ngazi ya mkoa.
Wote hao hawafai kuongoza kuanzia Rweikiza na Buruhan . ni vile sisiemu huwa haina watu Smart.
 
Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Bukoba Vijijini kimetangaza matokeo ya uchaguzi wa kura za maoni ya wabunge wa Jimbo hilo ambapo aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Dkt. Jason Rweikiza ameongoza kwa kupata kura 6,465 huku mgombea mwenzake aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM, mkoani Kagera, Faris Buruhan akifuatia kwa kupata kura 4,619.

Akitangaza matokeo ya kura hizo usiku huu wa kuamkia Jumanne Agosti 5,2025 katibu wa CCM Wilaya ya Bukoba Vijijini mkoani Kagera,Jesca Ndyamkama amesema kura zilizopigwa ni 11,682 na kura 100 zimeharibika.

Amewataja wagombea wengine ni Fahami Juma(239),Asted Mpita(124),Edmundi Rutaraka(89),na Philebart Bagenda(44).

Faris,Baada ya kutangazwa matokeo hayo amepata nafasi ya kuongea na vyombo vya habari huku akitaja kutoridhishwa na matokeo hayo na kusema yaligubikwa na vitendo vya rushwa jambo lilompelekea kutosaini fomu za kukubaliana na matokeo, akisema kuwa tayari ameanza hatua za kupeleka malalamiko kwenye chama ngazi ya mkoa.
Hivi Rweikiza Udoctor aliupata lini?
 
Nilishasema matatizo ya wahaya yanahitaji msaada mkubwa wa MUNGU.Eti Rweikiza kawawekea centre za tv ili watazame taarifa za habari kule vijijini.Vijiji maeneo mengi hayana maji barabara wala umeme.Yaani hali ni tete na bado wanamchagua.
 
Back
Top Bottom