Uchaguzi 2020 Dkt. Philip Mpango atangaza nia kugombea Ubunge jimbo la Buhigwe

Kwani mbunge wa sasa kasema hagombei ?
 
Si ipendi CCM ila ningekuwa mkazi wa ilo jimbo. Kura yangu ingeeda kwake.

Ila ninauhakika 100% mipango kalazimishwa tu kugombea. Huyu waziri sio mwqnasiasa kabisa. Anafanya kazi yake kama ijavyomtaka.
 
Hili Lisumkuma tu tena la nyangwale
 
Buhigwe si kuna mwanaccm mwezao yule CHAMI
 
Nyege zinamsunbua. Ndo kawaida ya nyege za wamama walio kwenye menopozi
KWa nini unaandika matusi krk jukwa la siasa? Haya ni mambo ya Jukwaa la mapenzi huko! Mbaya zaidi ni tusi kwa akina mama. Eti, unapewa likes!

Mod. tafadhari weka adabu kwa mtu kama huyu.
 
Nitajie tusi lolote katika post yangu...

Acha kulialia dadaangu ... eti unawaita mods, unadhani wao hawajaiona hiyo post

Mi kugongewa like kumekuuma sana? Kameze kiwembe basi unikomoe mazima
 
Mama yako leo unaniita dadako? Stupid!
 
Nitajie tusi lolote katika post yangu...

Acha kulialia dadaangu ... eti unawaita mods, unadhani wao hawajaiona hiyo post

Mi kugongewa like kumekuuma sana? Kameze kiwembe basi unikomoe mazima
Mama yako hajafikia Menopose?
 
Achana na hilo biriani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…