Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewataja watu wanaodai haki kuacha kuwa sababu ya ukosefu wa haki kwa wengine.
Dkt. Ndumbaro alisema hayo mjini Morogoro wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa sheria wa Jeshi la Magereza kuhusu huduma za msaada wa kisheria, mapokezi ya wafungwa magerezani na adhabu mbadala.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema haki ina ukomo wake hasa pale inapobadilika na kuwa vurugu hivyo ni vyema watu wanaodai haki mbalimbali wakatambua hivyo na wasidai huku wakiharibu haki za wengine.