PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema endapo akipata ridhaa ya kuiongoza tena Zanzibar ataendelea kuboresha zao la karafuu.
Kauli hiyo ameitoa wakati akihutubia maelfu ya wananchi ambao wamejitokeza katika uwanja wa Makombeni uliopo wilaya ya Mkoani mkoa wa Kusini Pemba.
“Sisi tulisema wakati tunaingia awamu hii ya nane serikali ya awamu ya saba iliweka sera ya kuwa bei ya inayouzia karafuu huko nje asilimai 80 yake apewe mkulima sera ile haitabadilika tutaendelea nayo mpaka leo na ndivyo itakavyokuwa huko tunapokwenda,” amesema
Amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo zao hilo la karafuu litaboreshwa zaidi kwa kutoa mitaji ili lizalishwe zaidi kutokana na kuwa bado lina dhamani kubwa duniani.