GE2025 Dkt. Mwinyi: Miaka 5 ijayo tutajenga soko kubwa Kinyasini

GE2025 Dkt. Mwinyi: Miaka 5 ijayo tutajenga soko kubwa Kinyasini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dtk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo Serikali itajenga soko kubwa la Kinyasini lenye miundombinu ya kisasa kwa ajili ya wafanyabiashara na wakulima.

1758545360282.png
Dkt. Mwinyi mesema kuwa ujenzi wa soko hilo utaleta ajira, kuimarisha biashara na kuinua kipato cha wananchi wa eneo hilo na Zanzibar kwa ujumla.

1758545317175.png
 
Back
Top Bottom