Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
DKT. MWINYI ASHIRIKI KIKAO CHA NEC
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2024.