KIJICHO PEVU
Member
- May 4, 2024
- 69
- 49
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Nchemba, amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
#KaziNaUtuTunasongaMbele.
#KaziNaUtuTunasongaMbele.