Dkt. Mpango: Kuna wana CCM wanahujumu ujenzi wa SGR na Bwawa la Nyerere

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,738
15,211
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati akihitimisha ziara yake mkoa wa Pwani ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa CCM wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye mradi wa SGR!

Source: TBC habari
 
Makamu wa rais Dk Philip Mpango wakati akihitimisha ziara yake mkoa wa Pwani ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa ccm wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye mradi wa SGR!

Source: TBC habari
Chadema watapinga
 
Sasa kuiba cement maana yake nini? Hivi kweli tulinunua cement kwaajili ya mradi na kwaajili ya viongozi wa ccm?

Hivi akili ya kiongozi mkubwa wa chama tawala ya kushawishi wizi ni akili ya binadamu? Hivi uhuru walio upigania baba zetu ndo huu unaotumiwa kuiba mali ya umma? Dah hii nchi haitafakariki kabisa!
 
JamiiForums-460750266.jpeg
 
Uongo ni tabie endelevu Jiwe alisema wapinzani walichelewesha maendeleo leo hii CCM kwa CCM ndio wanakwamishana.?

Kwani huo mradi ni wa taifa au wa CCM waambieni watu wajue msijekuwa mnawakamua tozo halafu mradi ni wa CCM
 
watu hatari sana hawa, mpaka wanamsikitisha dr. mpango bana!
 
Makamu wa rais Dk Philip Mpango wakati akihitimisha ziara yake mkoa wa Pwani ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa ccm wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye mradi wa SGR!

Source: TBC habari
Wanatafuta excuse ya kujifichia baada ya Miradi ya kurupuka ya Mwendakuzimu kubuma
 
Back
Top Bottom