Dkt. Mpango: Kuna wana CCM wanahujumu ujenzi wa SGR na Bwawa la Nyerere

Nina rafiki yangu anajenga kituo cha mafuta huko Wilaya ya Mkuranga. Siku moja ameniambia kuwa kafuatwa na kiongozi mkubwa tuu wa CCM kata fulani akimwambia kuna "cement maalumu" ya dili kwa bei nzuri.
Kusema ukweli pale Mwarusembe, Kimanzichana, Mkiu na Jaribu kuna hujuma kubwa sana inafanyika kwa miradi ya ujenzi na wafanyabiashara,hasa magari ya kubeba cement ya twiga, magari ya mafuta na magari ya kubeba udongo wa kutengenezea vigae - Goodwill.
 
Hawezi kuwataja na wala hana uwezo wa kuwadhibiti kwa kuwa wanayajua makandokando mengi aliyoyafanya(michongo)ya sasa na hata alipokuwa waziri wa fedha.
 
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati akihitimisha ziara yake mkoa wa Pwani ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa CCM wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye mradi wa SGR!

Source: TBC habari
Sukuma Gang wanahujumu Nchi
 
Kumbe nyie wez
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati akihitimisha ziara yake mkoa wa Pwani ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa CCM wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye mradi wa SGR!

Source: TBC habari
 
ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa CCM wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye mradi wa SGR!
Kwahiyo bado anaogopa anaishia kusikitika badala ya kuwachukulia hatua kali
 
Nilisema waza huu mraji wa bwawa la umeme na hiyo reli ya umeme ni ujanja ujanja wa maccm kudanganya watu.

Hiyo miradi ya uwongo ikikamilia 2025 najiondoa Jf rasmi
 
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati akihitimisha ziara yake mkoa wa Pwani ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa CCM wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye mradi wa SGR!

Source: TBC habari
Mbona kama simwelewi huyu Dr Mpango.
 
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati akihitimisha ziara yake mkoa wa Pwani ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa CCM wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye mradi wa SGR!

Source: TBC habari
Yaani Makamu wa rais anasikitika! Nani anayetakiwa kuchukuwa hatua? Haya ndo makosa ya kupata viongozi kati yetu. Anasikitika tu! Hana la kufanya!
 
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati akihitimisha ziara yake mkoa wa Pwani ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa CCM wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye mradi wa SGR!

Source: TBC habari
yan mtu anayo mamlaka alafu anasikitika 🤕🤕 kama yeye anasikitika sisi wananchi wa kawaida tufanye nini sasa yaan ningekuwa na mamlaka sijui ningewafanya kitu gan wahujum miradi
 
Back
Top Bottom