Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Nitakwambia kitu hapa, humu ndani tulioko ndiyo tulio nje.

Ingawa wakati mwingine tunajificha kwa ID fake, lakini bado tuna wajibu wa kupeana heshima kama ilivyo nje.

Shukrani kwa compliment.
Nin wewe.... Acha kujisahau.

Unashikwa kidevu unajiaaaachia.... Unajikuta namna gaaaani vipi.

Wengine midume iyo.. Inakuchora tu na google drive zako.

Mjini hapa utaibiwa.
 
A
Haikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda..

Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..

Mengi alikuwa ana ofisi yake maalum ya kufanya mikutano na vijana waliokuwa wakihitaji 'kusapotiwa'. Wengi walipata msaada wake. Nilicheka nilivyosikia Jacky anasema walikutana kwenye ndege! Hassanali anajua zaidi..

Msimu huo ulikuwa ni vita pia kwa wadada wa mjini.. Wenyewe waliita mawindo.. Kila mmoja alitaka kupata a finer catch..

Zile nyimbo za K-Lyinn mostly zilimhusu Kinje na madongo kwa mashosti zake... Mambo ya kuporana wanaume..

Pale Makumbusho jirani na eagle wing kuna members only club.. MPs, Ministers, CEOs, Moguls, Dons na Diplomats wanaenda kurefresh.. VIPs only.. PIMPs wa enzi hizo wanajua zaidi... Da' Mange naye kachezea sana mikasi pale.. Niishie hapo. Sitaki kuharibu swaum za watu!


Bifu la Kinje na Mengi halikuwa la kibiashara!
Haaah! ishi! ...coke imeisha kiu hakijakata..ongezea nyama tupunguze njaa ya jumatatu!
 
Jack aliona amfuate Mengi mwenye pesa zake,sio Kinje mwenye kutegemea za mzee Kingunge. Kije arudie sasa koloni lake.
Kinje alipata shida sana kwa huyu Jackie,kuna wakati alitoroka na tapeli la Kibulgaria aliyekuwa anaendesha michezo za lotto nasikia walienda kula bata Msumbiji,kinje alimfuata huko lakiniwapi na wakati huu mdada alikuwa amevalishwa pete na Kijna ,Huyu dada si wa mchezo .
 
Back
Top Bottom