Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Hii ilikuwa product ya mzee miaka ya around 2008-2010, kabla ya Madam Rita.

Kama kumbukumbu zangu hazinidanganyi, kuna picha ziliwahi kusambaa kwenye blogs za New Year Party ya IPP Family na threaded emails, huyu ndiye alikuwa mshika dau by then. Nimezitafuta zile picha bila mafanikio.
Miaka uliyoweka hapo juu nakumbuka Bss ya madam ndio ilikuwa inaanza akawa anafanyia Itv inamaana kipindi hiyo alikuwa bado hajawa na ukaribu na madam?nilijuwa miaka hiyo ndio walikuwa karibu ndio maana akapata shavu la kipindi chake kurushwa pale.
 
W


"Khadija Kopa akiacha pengo itaendelea taarabu? Komba naye akianguka itaendelea kwaya? Achimenengule Band wenzake si wataigwaya? Huwa nawaza sana siku akitutoka Ndugu Mengi,nani ataziba pengo na huyu kipenzi cha wengi?" - Waswahili PENGO 2003

Walikuwa waswahili kweli nyimbo zao zilikuwa zinakamata wengi waqt wao.
 
Hizo "Likes" ingekuwa ni Pesa zinaingia kwenye Account ingekuwa Poa sanaa. Si kila anaekuchekea na kukupa likes kafurahishwa nawe, wengine wanashangaa "U-bogus" wako hadi inawabidi watoe likes tuu!

Maneno ya mkosaji hayo!
 
Huu uzi mzuri,kongole kwa muanzisha uzi
Ila wako watu wachache Sana waloongea reality na wanaonekana watoto wa mujini,hawazidi watatu ,mwanzisha uzi included.
Wengine kina sie ni wadandiaji tu,wameufanya uzi ukapoteza ladha kiasi flani.Sometimes ni nyema ukawa mpenzi msomaji ili kuupa uzi uhalisia,hakuna tuzo za kupretend mjuaji while maandishi tu yanaonyesha unadandia points.
 
Ya Salama na Regina naijua toka Niko shule enzi hizo Advance,na kuna mdada wa Rozela Saloon (saloon za kishua za enzi hizo)salama alikua anamsumbua balaa!!!mdada ana mchumba wake Salama anakomaa Ile ileHahaaa forever young duuhhh!!!anaenda club jamani chaaa
ila dada mkubwa alitugeia ubuyu kuwa Salama nae aliwah kubakwaa na ndio chanzo cha kipindi cha kukosoa video kufaa
 
Mambo ni mengi muda mchache

 
Back
Top Bottom