Dkt. Mengi alivyomchukua Jacky kwa Kinje

Kinje ndio alikuwa na bifu na Mengi baada ya kuchukuliwa mwanamke, Mengi hawezi kuwa na bifu na underdog kama kinje na hilo bifu lenyewe haliku materialize
Huyu dem Kabla ya kinje alikuwa na mzungu mmja mbulgaria mzungu huyo alikuwa na kampuni ya mambo ya bahati nasibu lotto Olympic
Hivi unakumbuka kile kisanga cha wadada kupelekwa dizonga wakafichwa huko ila walirudi kwa utata bongo?

Ova
 
Haikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda..

Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..

Mengi alikuwa ana ofisi yake maalum ya kufanya mikutano na vijana waliokuwa wakihitaji 'kusapotiwa'. Wengi walipata msaada wake. Nilicheka nilivyosikia Jacky anasema walikutana kwenye ndege! Hassanali anajua zaidi..

Msimu huo ulikuwa ni vita pia kwa wadada wa mjini.. Wenyewe waliita mawindo.. Kila mmoja alitaka kupata a finer catch..

Zile nyimbo za K-Lyinn mostly zilimhusu Kinje na madongo kwa mashosti zake... Mambo ya kuporana wanaume..

Pale Makumbusho jirani na eagle wing kuna members only club.. MPs, Ministers, CEOs, Moguls, Dons na Diplomats wanaenda kurefresh.. VIPs only.. PIMPs wa enzi hizo wanajua zaidi... Da' Mange naye kachezea sana mikasi pale.. Niishie hapo. Sitaki kuharibu swaum za watu!

Bifu la Kinje na Mengi halikuwa la kibiashara!
Tafuta pesa acha umbea kwa non nonsense, unamjadili negatively mtu kama Bahkresa, Mo, and a like inakusaidia nini? Hivi Mungu waswahili tulimkosea nini kutuumba na roho zinazopenda negativity kwa wengine?, Tena hasa waliofanikiwa!
 
mrangi na mji wake na Mambo yake salute kwako
Huyo mbulgaria alikuwa Mafia alafu bonge la mhuni wa madem,alishigi na mtu fulani nakumbka moroco pale
Kumbukeni kisanga kile cha wadada fulani walipelekwa dizonga waliambiwa kuna tangazo wanaenda kufanya hko la biashara
Kufika hko ikawa ndivyo sivyo
Nakumbka mpk interpol waliingilia kati
Na huyo mbulgaria mpk leo hjarudi bongo
Ngj tuishie hpo

Ova
 
Haikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda..

Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..

Mengi alikuwa ana ofisi yake maalum ya kufanya mikutano na vijana waliokuwa wakihitaji 'kusapotiwa'. Wengi walipata msaada wake. Nilicheka nilivyosikia Jacky anasema walikutana kwenye ndege! Hassanali anajua zaidi..

Msimu huo ulikuwa ni vita pia kwa wadada wa mjini.. Wenyewe waliita mawindo.. Kila mmoja alitaka kupata a finer catch..

Zile nyimbo za K-Lyinn mostly zilimhusu Kinje na madongo kwa mashosti zake... Mambo ya kuporana wanaume..

Pale Makumbusho jirani na eagle wing kuna members only club.. MPs, Ministers, CEOs, Moguls, Dons na Diplomats wanaenda kurefresh.. VIPs only.. PIMPs wa enzi hizo wanajua zaidi... Da' Mange naye kachezea sana mikasi pale.. Niishie hapo. Sitaki kuharibu swaum za watu!

Bifu la Kinje na Mengi halikuwa la kibiashara!
Mi na bifu na mleta uzi
 
Back
Top Bottom