GE2025 Dkt. Marcus Alban: Kuzuia Uchaguzi ni Kosa Kubwa katika Taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV

ayo​
 
Hawa ndio wasomi tulionao nchi hii. Yeye anaona ni sawa kwa mpigakura kupangiwa nani awe kiongozi wake.

Wangazija walikuwa na usemi wao: Non omne quod licet honestum est (i.e., Not everything that is lawful is honorable). While it’s lawful for a sitting president, who is running for reelection, to appoint members of the election commission, it’s obviously not honorable.

Mchezaji hapaswi kuwa na exclusive right ya kujichagulia referee wa match yake!
 
Ukishataka kuzuia uchaguzi kwa nguvu unaelekea kwenye vurugu, anarchy.

Pia unakuwa umetoa kauli kwamba umeshindwa kuwashawishi wananchi wasusie uchaguzi kwa amani na kuonesha kuwa uchaguzi huo hauna baraka za wananchi.

Hii si njia ya kupita watu wanaotaka kutuonesha mfano wa kuendesha mambo kwa amani na kufuata utawala wa sheria.
 
Be pragmatic! Wanaotaka kuzuia uchaguzi wamefungiwa majukwaa ya kuwafikia wananchi na kuwashawishi wagomee hili igizo la uchaguzi (ubakaji wa demokrasia)! What option are they left with?
 
Katika juhudi za kuelimisha wananchi kuhusu kampeni za no reforms,no election chama fulani kilikula ban
 
"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV

..hivi wanaozuia uchaguzi ni Ccm, au wapinzani?

..dhuluma wanazofanya Ccm kipindi cha uchaguzi, sio kuzuia uchaguzi?
 
"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV

Ila hizi zinazoporwa sii,dhambi wala kosa.
 
Be pragmatic! Wanaotaka kuzuia uchaguzi wamefungiwa majukwaa ya kuwafikia wananchi na kuwashawishi wagomee hili igizo la uchaguzi (ubakaji wa demokrasia)! What option are they left with?
Options zipo nyingi na tunaweza kuzijadili lakini kabla ya kujua option gani tuchukue, tunaweza kukubaliana kuwa tukatae option ya vurugu na kuzuia wengine wanaotaka kufanya uchaguzi wao?

Tunaweza kukubaliana kuwa tunasimamia mabadiliko ya amani?

Na kama hatukubaliani na dhana ya mabadiliko ya amani, tunataka kutumia nguvu, sasa hapo tutawalaumu vipi CCM kwa kutawala kwa nguvu?
 
Katika juhudi za kuelimisha wananchi kuhusu kampeni za no reforms,no election chama fulani kilikula ban
Sawa.

Kinaweza kupambana kuonesha udhalimu wa CCM bila vurugu na kutumia nguvu.

Kikifanya vurugu na kutumia nguvu, na chenyewe kinakuwa hakina tofauti na CCM.
 
Options zipo nyingi na tunaweza kuzijadili lakini kabla ya kujua option gani tuchukue, tunaweza kukubaliana kuwa tukatae option ya vurugu na kuzuia wengine wanaotaka kufanya uchaguzi wao?

Tunaweza kukubaliana kuwa tunasimamia mabadiliko ya amani?

Na kama hatukubaliani na dhana ya mabadiliko ya amani, tunataka kutumia nguvu, sasa hapo tutawalaumu vipi CCM kwa kutawala kwa nguvu?
Hizo options unazodai zipo nyingi zinapaswa kuwa shared widely ili wanaokandamizwa wazijue, kuzitumia na kuepuka confrontation. Otherwise, uasi dhidi ya sheria kandamizi hauepukiki. In fact, kuasi dhidi ya sheria kandamizi is an honor!
 
Maandamano si vurugu ila huweza kuleta vurugu endapo dola ikifanya hivo.
 
Kama njia ya amani imeshindikana unabaki option gani?
 
"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza wajibu wetu, kupata haki yetu na kuamua hatima yetu, hili ni kosa kubwa sana katika taifa lolote" amesema -Dkt.Marcus Alban ambaye pia Mtaalam wa Uchumi na Mchambuazi wa Siasa akiwa katika Mahojiano ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV

Kama kabudi tu
 
Kuiba kura sio kosa kubwa ktk taifa?
 
Hizo options unazodai zipo nyingi zinapaswa kuwa shared widely ili wanaokandamizwa wazijue, kuzitumia na kuepuka confrontation. Otherwise, uasi dhidi ya sheria kandamizi hauepukiki. In fact, kuasi dhidi ya sheria kandamizi is an honor!
Naam.

Sasa kwa nini wapinzani wakiulizwa strategy yenu ni ipi wanashindwa kuelezea?
 
Maandamano si vurugu ila huweza kuleta vurugu endapo dola ikifanya hivo.
Kama katika mwaka una siku 364 za kufanya maandamano, ukang'ang'ania kufanya maandamano siku ya 365 ambayo ni ya uchaguzi, hapo unataka kuleta vurugu kwenye huo uchaguzi tu.

Kwa sababu ungeweza kuandamana siku moja kabla ya uchaguzi au siku moja baada ya uchaguzi.

Mimi siipendi CCM na naelewa uchaguzi ni magumashi, lakini wapinzani walitakiwa kuwashawishi wananchi wasusie uchaguzi, siju ya uchaguzi kila ntu akae nyumbani.

Wapinzani wameshindwa hii kazi.

Sasa inaonekana kama wamwshindwa kushawishi watu wasiende kwenye uchaguzi, wanataka kuuvuruga uchaguzi kwa nguvu.

Watanzania waliochagua kushiriki kwenye uchaguzi wana haki ya kikatiba ya kushiriki kwenye uchaguzi wao bila vurugu. Bila kujali uchaguzi ni wa haki ama la.

Mimi sikubaliani na uhalali wa uchaguzi huu, na watakaoshiriki wengi ma CCM sikubaliani nao kisiasa, lakini natetea haki yao ya kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi wao.
 
Kama njia ya amani imeshindikana unabaki option gani?
Nimeelezea hapo juu. Huelewi wapi?

Unaweza hata kufanya mapinduzi ya nguvu, lakini hayo si mabadiliko ya kidemokrasia yanayoheshimu utawala wa sheria na amani.

Hayo ni mapambano ya kugombania utawala tu.

Upinzani hauwezi kuwa na moral high ground kwa kutumia nguvu.

Kwa sababu utawala wa kutumia nguvu ndio tunaoukataa CCM.
 
Back
Top Bottom