Dkt. Magufuli, balozi wa amani mwenye utayari wa kukabiliana na ufisadi nchini

Anayebisha kwamba magufuli sio rais huyo ana matatizo sana, rais ni magufuli, kwa siku hizi mbili wananchi wamestuka sana, wameelewa.
 
tumeshashinda tayar.lowasa njia ya monduli ameanza kuionaa.HAPA KAZI TUUU.magufuli ndio mpango mzimaa
attachment.php


Jamaa atarudi kwao kwenda kufuga ng'ombe
 

Attachments

  • ng'ombe.jpg
    ng'ombe.jpg
    46.6 KB · Views: 100
attachment.php


Hiyo ilikuwa Jangwani jana jioni, sasa hii ni jioni ya leo huko Mwanza uwanja wa CCM Kirumba
 

Attachments

  • 20151024074733.jpg
    20151024074733.jpg
    393.7 KB · Views: 1,611
Msemo ulioenea mitaani na mijini kote ni RAISNIMAGUFULI, CCM imekuwa ikiidumisha manai kwa miaka yote, basi Magufuli ni balozi wa amani 2015-2020
 
Mpaka leo, naona makundi ya watu wakibadili mitazamo yao juu ya nani hasa watamchagua,
nimeshuhudia idadi ya watu wengi wameamua kumchagua Magufuli, Rais ni Magufuli. Hata Mwanza wameelewa

attachment.php
 

Attachments

  • 20151024055854 (1).jpg
    20151024055854 (1).jpg
    305.4 KB · Views: 1,256
Back
Top Bottom