Kimya kimya hadi kieleweke! Dr. Magufuli ndiye atapeperusha bendera ya CCM dhidi ya wagombea toka vyama vya upinzania. Dr. Magufuli anakubalika na amefuata masharti ya chama wakati wa kutafuta wadhamini. Hapigi kampeni na wala hana ilani yake mfukoni na wala hajifanyi maarufu kuliko chama. Anasubiri ilani ya chama ili aitumie.
Hana makundi. Na ili CCM iwe salama inabidi makundi yavunjwe na ili makundi yavunjwe, wale wote wenye makundi inabidi watoswe!Sifa nyingine kubwa hana siasa za kuchafuana!
kwa mtwara hiyo ni familia moja kazi anayo.
Anatetemeka sana mikono,bora hujamuona tu.Nllipenda nimwone na Edward Lowassa akisaini fomu kama anavyoonekana Magufuli.
kwa mtwara hiyo ni familia moja kazi anayo.
Mungu inusuru Tanzania na watanzania,tupe MAGUFULI Kuwa rais wetu tunampena tunamuitaji,ana kila sifa ya rais taifa linamtaka kwa ss,tutapata
1,baraza LA mawaziri makini,
2,viongozi wachapa kazi sio wachora duri
3,mwisho wa rushwa
4,kiongozi anaejiamini Kuwait anaweza kuongoza,sio kuongozwa na marafiki
Dr. Magufuli amejipambanua kuwa tofauti na wenzake. Hivi Waziri kwenye serikali iliyopo madarakani unasimama na kuanza kulalamika! Unalalamika nini dhidi ya serikali ambayo wewe unaketi kwenye barazala mawaziri. Dr. Magufuli anasubiri ilani ili aitendee haki.Songa mbele kamanda!
Dr. Magufuli amejipambanua kuwa tofauti na wenzake. Hivi Waziri kwenye serikali iliyopo madarakani unasimama na kuanza kulalamika! Unalalamika nini dhidi ya serikali ambayo wewe unaketi kwenye barazala mawaziri. Dr. Magufuli anasubiri ilani ili aitendee haki.