TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
CCM ina wasafi wengi tu.Sijaona mtu safi ndani ya CCM
LOWASSA ni mchafu wa siku nyingi ikitokea mtu kama MAGUFULI lazima wapambe wake wajiulize mara mbilimbili kama wanaweza kuhimili mapigoNi siasa za kuchafuana tu Kama ilivyo jadi yenu hamna lolote
CCM ina wasafi wengi tu.
Taja mmoja alie msafi ambae anaweza kusimamishwa na ccm..[/QUO
jAMES RUGEMALIRA
Taja mmoja alie msafi ambae anaweza kusimamishwa na ccm..[/QUO
jAMES RUGEMALIRA
mi nampendekeza mzee seven
Taja mmoja alie msafi ambae anaweza kusimamishwa na ccm..