Dkt. Kimei akiona cha moto Rombo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,466
Reaction score
283,837
Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu.

Huko Vunjo Dr. Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa, yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia! Noma sana!

Onyo: Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB.
 
Tatizo ni jina chukua chako mapema (CCM)😂
 
Picha please
 

Kimei sio chaguo la CCM, lilikuwa chaguo la JPM

Sisi wenye damu halisi ya kijani hatumjui, sio chaguo la CCM
 
Huko Rombo alienda kufanya nini?
Kwani ni Jimbo lake?
 

Noma Sana.
 
Dr. Kimei sio mwanasiasa mzuri, sijui ni nini kilimuingiza kwenye siasa. Hata kuongea kwake tu ni shida.
Uroho wa kishamba yaani unastaafu ukapewa gari ya million 800 ya kutembelea na hapo umetoka kwny salary ya zaidi ya 18m kwa mwezi then unarudi kupigania salary ya 12m plus uchawi na husuda kibao...

Tamaa mbaya ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…