Dkt. Kigwangala: Ukiwa juu epuka sana Jeuri, Kiburi na Majivuno kwani kuna kupanda na kuanguka

Huo ushauri unamfaa yeye mwenyewe.maana amewahi wadhalilisha watu wazima wakapiga magoti. Wengine akaenda kuwafungia mageti eti wamechelewa kazini. Akakosa maelewano na akawa anamshambulia katibu mkuu wake wa wizara. Kwa hiyo Mheshimiwa kingwangala angetulia tu na kuomba hekima za Mungu wakati huu.maana kwa kadri anavyoongea sana kwenye Twitter yake ndivyo anavyoendelea kuharibu. Kiongozi na uongozi ni pamoja na utulivu na kukaa kimya.
 
Umeongea ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom