Mkamba Mmasai
JF-Expert Member
- Apr 18, 2015
- 384
- 65
Usipoteze kura yakooooooo......chagua mwadilifuuuuuu
magufuli anakwenda kuanzia wapi?? Mbona kila mahali atakapoanza napo kuna mkono wa mtangulizi wake???
Huo ufisadi unaozungumziwa kwenye majukwaa leo, nafikiri ndio mwisho hamtausikia tena,
na wala haiwezi kuwa sehemu ya agenda za makufuli mwaka 2020.
Jiandaeni kulipelea tena taifa kwenye utumwa!!
Subiri kiboko yenu Magufuli anakuja soon na huyo fisadi wenu mtaona moto, acheni kutapa tapa, kaaeni mkao wa kunyolewa