sipendi kufatilia life ya mtu ila huyu mtu anajiita Dr nimeona nimjue ni nani haswa huyu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa ndo wale wa ukileta wa wateja wanne unakuwa unaingiza laki Kila siku
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wapi hukoo?!!Kuna jamaa anaitwa Dkt. Ibrahim Chenza amekua akipost akidrive marange na mavogue ya gharama yenye Plate namba za majina yake.
Nimekutana na bandiko mahali kuhusu huyu mtu sijatilia manani sana ni mtu wa kupost magari ya kifahari sana sipendi kufatilia life ya mtu ila huyu mtu anajiita Dr nimeona nimjue ni nani haswa huyu
Kuna jamaa anaitwa Dkt. Ibrahim Chenza amekua akipost akidrive marange na mavogue ya gharama yenye Plate namba za majina yake.
Nimekutana na bandiko mahali kuhusu huyu mtu sijatilia manani sana ni mtu wa kupost magari ya kifahari sana sipendi kufatilia life ya mtu ila huyu mtu anajiita Dr nimeona nimjue ni nani haswa huyu