MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,722
- 42,799
Huna hoja kaa kimya. Rais kuhudhuria msiba sio takwa la kisheria wala kikatiba. Kibaya zaidi hiyo familia ya Sarungi wenyewe hawako sawa. Wana mvurugano. Rais kafanya vyema kutohudhuria.Sio Kila
Si Kila kitu nachoelezea ni sehemu ya hoja, ni nyingine ni extra claims zinazoelezea hoja haina haja kuzi rise.
Naona umekariri kuhusu fallacy. All fallacious arguments are incorrect arguments which imitate in some way or other the appearance of truth.
Fallacy zinachepusha uhalisia wa kitu either katika muundo wake(form) au material yake.
Usikariri Kila ukiona neno tradition, au culture kwenye hoja ni fallacy. Angalia form (muundo) na usahihi wa material yake.
Wewe si muamuzi wa nini cha ku raise na nini si cha ku raise. Huna nguvu hizo unazojipa.Sio Kila
Si Kila kitu nachoelezea ni sehemu ya hoja, ni nyingine ni extra claims zinazoelezea hoja haina haja kuzi rise.
Naona umekariri kuhusu fallacy. All fallacious arguments are incorrect arguments which imitate in some way or other the appearance of truth.
Fallacy zinachepusha uhalisia wa kitu either katika muundo wake(form) au material yake.
Usikariri Kila ukiona neno tradition, au culture kwenye hoja ni fallacy. Angalia form (muundo) na usahihi wa material yake.
Mbona Ulivyonijibu hakuna hata kimoja nimekuzungumzia, we umeyatoa wapi? unaleta "Argumentum ad Hominem"Huna hoja kaa kimya. Rais kuhudhuria msiba sio takwa la kisheria wala kikatiba. Kibaya zaidi hiyo familia ya Sarungi wenyewe hawako sawa. Wana mvurugano. Rais kafanya vyema kutohudhuria.
Ndugu, "Not all arguments rise from traditional issues are fallacious but all incorrect arguments (in 'form' or 'material'or both) from tradition are fallacy". Sijui unaelewa logic hapo?Wewe si muamuzi wa nini cha ku raise na nini si cha ku raise. Huna nguvu hizo unazojipa.
Wewe si censor wa kusema nini kijadiliwe na nini kisijadiliwe.
Nitajadili hata usichoandika kama naona kina maana.
Kosoa mantiki, usinipangie cha kuandika.
Umejenga hoja juu ya hoja ya tradition kuwa msiba ni shughuli ya jamii.
Hoja hii ni logical fallacy. Ni "argument from tradition logical fallacy"
Pia, hata hizo tradition zinabadilika. They are not written in stone.
Na mtu ana uhuru wa kuamua msiba wake uweje tofauti na traditions.
Naelewa hilo lakini wewe umefanya "argument from tradition" logical fallacy.Ndugu, "Not all arguments rise from traditional issues are fallacious but all incorrect arguments (in 'form' or 'material'or both) from tradition are fallacy". Sijui unaelewa logic hapo?
Au umekariri tu hii statement: "argument from tradition logical fallacy"
Hujaelewa na unazidi kuleta contradictory statements. No argument can proceeds from the two contradictions. Go back to your logic classNaelewa hilo lakini wewe umefanya "argument from tradition" logical fallacy.
Unaelewa hilo?
Sijaelewa nini?Hujaelewa na unazidi kuleta contradictory statements. No argument can proceeds from the two contradictions. Go back to your logic class
You don't know even where do we contradict. No conclusion can be reached from the two contradicting sides. The only compromise is going back to your logic class.Sijaelewa nini?
Contradiction haitokei kwa sababu tu wewe umesema ipo.
Ioneshe iko wapi.
Hujui "argument from tradition" ni logical fallacy?
Hukubali kwamba umefanya hiyo logical fallacy ya argument from tradition"?
You don't know even where do we contradict. No conclusion can be reached from the two contradicting sides. The only compromise is going back to your logic class.
I can't explain what I have already explained and you have failed to grasp.
Huyu lwaitama mpk mpk hapa nishamdharau inamaana rais kila anaitwa prof akifariki lazima aende wala sio kutuma mwakilishi kumbe huyu mpumbavu elimu haijamkomboa amekaa kama mpika ka horse mtaaniLwaitama naye kakosea
Mwalimu, dr mzee ambaye hakua hata associate prof
atz kumbe kila wakisoma wajinga sasa kwe da msiban s mambo ya familia ktk protocol ya urais prof s lazma aende at least ungeaikia namba mbili au tatu au mkuu wa majeshi mstaafu ety leo prof wa sua akifa huyo ukerewe raisi aanze kupanda vidau nyie nyie mpo local sanaAngekuwa amekufa any member of the family, akawepo Professor naamini Mheshimiwa angeenda.
Hata hivyo mstaafu alikuwepo,
Your argument is faulty in a quirky way. Even as, if you are trying to excuse Samia, Wanaharakati wa Tanzania wanampa rais umuhinu ambao hata hana, huku wengi wao wakisema wanataka kumpunguzia madaraka ya kikatiba ambayo anayo, in a very contradictory way.Sarungi's three children DID NOT care to attend his burial. Why should anybody else be given grief over it ?
Wale diaspora wa Australia na Hungary tulioambiwa msibani wameshindwa kuja tumeeelewa, labda hawana maratasi, tunaelewa wakitoka kizembe hawatii n-guu tena kwa saab ni wahamiaji haramu.
Na Maria je, kasema tatizo usalama, ungesema ndugu na jamaa na hata police for hire waje kukupokea airport bado ungetekwa ?
Watoto wake watatu ndio hawakujali kuzika baba, wasilaumiwe wengine.
Watz kumbe kila wakisoma wajinga sasa kwe da msiban s mambo ya familia ktk protocol ya urais prof s lazma aende at least ungeaikia namba mbili au tatu au mkuu wa majeshi mstaafu ety leo prof wa sua akifa huyo ukerewe raisi aanze kupanda vidau nyie nyie mpo local sana
Mkuu PASKALI zingatia nafasi za Mzee Sarungi kwenye utumishi wake kisiasa na kiserikali TanganyikaMkuu Mshana Jr , huyu Dr. Hezron Lwaitama, ni ndugu
na Dr. Azavel Feza Lwaitama?.
Rais kuhudhuria msiba wowote wa mtu yeyote unategemea mambo matano haya
Huu ni mwaka wa
- Kuna misiba ya viongozi ambao rais anapaswa kuhudhuria kama wajibu, akiwa na ratiba nyingine yoyote, anavunja hiyo ratiba na kuhudhuria msiba huo. Hiyo ni misiba ya viongozi wakuu, askari wanaokufa on duty yeye as CinC. Prof. Sarungi, sii kiongozi, hivyo sii lazima rais kuhudhuria msiba huo.
- Rais anawajibika kuhudhuria misiba ya wakuu wa nchi, akishindwa anawakilishwa.
- Rais anapaswa kuwa mfariji mkuu wakati wa majanga ya kitaifa ikiwemo kuhudhuria misiba ya majanga, Kutoonyesha Hisia/Huruma wala pole za sauti si Udikteta bali ni Ushujaa wa Kijeshi!
- Rais atahudhuria misiba ya mawaziri wastaafu, au viongozi wengine wote only if kama ana nafasi, bahati mbaya ratiba ya msiba wa Prof. Sarungi, imegongana na ratiba ya kikao cha CC na NEC Dodoma, hivyo rais hakuhudhuria kwa kukosa nafasi na sio kwa kumuogopa Maria!.
- Rais anaweza kuhudhuria msiba wa mwananchi mwingine yoyote, ndugu, jamaa na marafiki, kama mtu mwingine yoyote, na kutohudhuria msiba wowote sio kosa.
Uchaguzi, tujitahidi kupunguza au kuacha kumshutumu rais kwa vitu visivyo mhusu, ili kumuonyeshea ni mtu asiyejali!.
P
Tusimuadhibu baba kwa makosa ya mtoto ?Sasa kama watoto wake wamekosea, kwa nini umuadhibu baba kwa makosa ya watoto?
Mzee Sarungi hata hapa unamuadhibu kwa kuchafua legacy yake.Tusimuadhibu baba kwa makosa ya mtoto ?
Mzee Sarungi tumemuadhibu vipi
sasa ????
Mzee Sarungi is dead and gone. Tumemuadhibu vipiiiiiiii ?????
You not tryna insinuate tumemuua Sarungi, are you ???
Kuna mawaziri wangapi wastaafu wamefariki bila rais wa nchi kuhudhuria?. . Rais ana kikao Dodoma, msiba uko DarMkuu PASKALI zingatia nafasi za Mzee Sarungi kwenye utumishi wake kisiasa na kiserikali Tanganyika
Watanzania wengi wana shobo na rais tu, kila kitu rais, rais.Huyu lwaitama mpk mpk hapa nishamdharau inamaana rais kila anaitwa prof akifariki lazima aende wala sio kutuma mwakilishi kumbe huyu mpumbavu elimu haijamkomboa amekaa kama mpika ka horse mtaani
Hivi hawa watu wanaolazimisha rais awepo msibani wanajua hata Profesa Philemon Sarungi mwenyewe alitaka azikwe vipi?Kuna mawaziri wangapi wastaafu wamefariki bila rais wa nchi kuhudhuria?. . Rais ana kikao Dodoma, msiba uko Dar
P