Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Ile ilikuwa ni gia ya kuelekea CCMSi alishagaenda UDP au vipi
Huyo alikuwa UDP ya Cheyotumesikia !waende wote wenye nia ya kutoka chadema tujijue wafia chama
Kife mara ngapi tena![emoji13] [emoji13]tumesikia !waende wote wenye nia ya kutoka chadema tujijue wafia chama
Kife mara ngapi tena![emoji13] [emoji13]
Next week babu yenu El
Kama kuhama ni fedha naamini chadema wangehama wote kuanzia mwenyekiti wa maisha hadi wewe mwenyewe![emoji13] [emoji13] badala ya kijitathimini mnakimbilia sababu za kitoto![emoji15] [emoji15]Hela za ccm zinaliwa kijinga sana ! Huko tuendako hadi maiti zitahongwa .
Mzee ni well off itafute CV yakd..ana experience ya kutukuka kwenye utawala, nadhani ni utashi wake binafsi sidhani kama amenunuliwa..kwanza kwann anunuliwe? hana impact yyte!Hela za ccm zinaliwa kijinga sana ! Huko tuendako hadi maiti zitahongwa .
Strong kivipi wakati kila kukicha mnakimbiwa??alafu ungejkua sasa hv tumezid kuwa strong wala usingekuaj kuropoka hayo !pole sana
Na bado ....nashangaa dume limehamia kwenu kama alivyosema mjumbe wa kamati kuu. ..[emoji13] [emoji13] [emoji13] lakini kinazidi kuporomoka kila sikualafu ungejkua sasa hv tumezid kuwa strong wala usingekuaj kuropoka hayo !pole sana