Dkt. Dau afitinishwa na JPM

It seems the moderator or the owners of JF, thrive on the division of Tanzanians on religion lines, thus enjoying this post and ensuring that it lives longer here and enlarge the rift and instilling anger on the foolish ones, who are easily influenced by pathetic articles like this one's.

If the moderator is not one of them I challenge then to block this post.
 
Hivi ni kwa nini maislamu wanapenda kuona kuwa wanaonewa wakati wote?? Mbona sijawahi kusikia mkristo hata siku moja akilalamika kwnye mambo ya kipuuzi kama haya?

Hii dini ni janga jaman
Stage iliyofikia sio maneno tena ni action, watu wamelea ujinga sana na kadili unavyo uacha ujinga na wenyewe una develop,tuanze na trump kwanza, there's no way people have to face the reality,yaani watu wafanye madudu halafu wakitolewa wanakimbilia dini,mda wa maneno umekwisha tz tayari tunaye magu ni kazi tu,na us anakuja trump mtanyooka tu
 
Kuna watu watakuwa wanaumia sana kama yule mbeba box kule London Haruna Mbeyu ilikuwa kama sebuleni kwake hapo nssf kwenda kupiga soga tu.Keshapeleka vijana wengi sana wa imani yake hapo nssf kwa ajili ya ajira kisingizio wanabalance
Hakuna kitu kibaya katika kazi badala ya kuangalia sifa na uzoefu, jitu linakaa kubalansisha dini, kabila na hata jinsia
 
kwa hiyo kwa sababu kakakaa pale haruhusiwi kutolewa? ha wengine mbona hamkuwaandika?
 
Hakuna kitu kibaya katika kazi badala ya kuangalia sifa na uzoefu, jitu linakaa kubalansisha dini, kabila na hata jinsia



Mkuu wewe acha tu jamaa atakuwa ameumia sana maana alikuwa anapeleka watu kama vile shirika lake halafu wote mlengo wake wa kushoto nilipokuwa nachoka tu eti anaitwa meya wa london
 
hebu msitupigie kelele waislam ndo mlikuwa kihelehele kumchagua magufuri na kusema chadema ya wakristo , tulieni mtumbuliwe maana MLIYEMPENDA KAJA!!
 
Kuna kaukweli kanaonekana hapo, lakini ngoja nijipitie ntarudi ....
 
Lakini usiombe ukapelekwa Tora Bora ..!!
 
Wanafiki utawajua tu wakati Mkapa anamtoa Mustapha Mkulo NSSF na kumpa Dr. Dau mbona hawa maamuma hawakuja na vijarida vyao kudai Mkulo anaonewa? Acheni unafiki. Kwani Dau ndiyo pekee mwenye akili ya kiendesha NSSF hapa tz?
 
Wanafiki utawajua tu wakati Mkapa anamtoa Mustapha Mkulo NSSF na kumpa Dr. Dau mbona hawa maamuma hawakuja na vijarida vyao kudai Mkulo anaonewa? Acheni unafiki. Kwani Dau ndiyo pekee mwenye akili ya kiendesha NSSF hapa tz?



Yani ilikuwa ukienda ofisi ya DG kama umeenda kwenye kijiwe cha kahawa wengine wanakunywa chai,wengine wanakunywa ya maziwa,wengine wanakunywa kahawa mara wengine wamefata bahasha ya kuchukua fungu la kwenda kufanya mihadhara yani vurugu vurugu
 
Mb
Wewe ama kweli mjinga tena mbumbumbu. Mkulo alilifilisi hilo shirika, Dau ndiye aliyeliokoa

We kinyaa mtu aliye reform Nssf ni mkulo alitolewa kwa sababu ya majivuno,dau wakiletwa na marehemu Dr omari kwa mgongo wa kitwana kondo kwa udini uleule baada ya dau akifukuzwa bandarini alipotaja kueneza udini,huyu jamaa ni sheitwani tena ...
 


Katika Miradi Hiyo ni upi ambao angalau umeanza kurejesha fedha za uwekezaji ???
 
kuna mengi ya kumjadili Muheshimiwa magufuli sio hilila kuhamisha watendaji tu,bali Kufukuza watu kuliko kithiri ni hatari sana kwa ufanisi wa taifa,imekuwa sasa ni mtindo ,kila mwenye mamlaka ya kuachisha au kufukuza au kusimamisha anafanya hivyo.Huu ni muda wa wenye dhamira za kulipiza visasi au chuki binafsi kupenyeza uovu wao kwa kisingizio cha majipu.
naiona hatari mbele katika serikali ya JPM.
 
HAYA NAYO NI MAJIPU AU NDIO CHUKI NA SIASA CHAFU?
BREAKING NEWS ! Kibarua cha Balozi wa Tz Japan chaota nyasi Je ni utumbuaji au ni chuki binafsi??

Written by mas-albimany // 25/01/2016 // Habari, ZenjiLikiz // Maoni 16


MR. JOHN POMBE MAGUFULI aamuru balozi wa Tanzania nchini Japan ambae ni mke wa mwanasharia mkuu mstaafu wa Zanzibar Othman Masoud, Bi Batilda Burian kurudi zake nchini (Yaani kibarua kimeota mbawa)
 
Huyo mwandishi atoe Aya hapa inayosema si ruksa kumtoa Dk Dau pale NSSF,,
Kama hakuna Aya inayokataza huyo Dau,, kunyofolewa hapo basi Udini wake apeleke huko msikitini kwake,, asichonganishe watu humu kwa udini wake,,

Kwani wakristo wangapi wametumbuliwa majipu hadi sasa mbona magazeti ya kikristo hayajalalamika,, au michango ya watumishi huko NSSF inaingia ya waislamu tu,, kwamba sasa akishika mkristo kwao inakuwa ni Haramu,,

Nape hebu fungia vigazeti vya namna hii havina faida kwa jamii yetu ya sasa.
 
Kikwete kashindwa nchi. hana uwezo wala maarifa alitaka tuu Urais. huyo Dau hiyo miradi yote ilikuea dili na Jk ulifuatilia madeni ya NSsf utashangaa. bila kuwa dini yake hupati ajira nssf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…