Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Kwa hiyo kosa kubwa la Bashiru ni lipi hapo? Kurudisha mali za CCM walizo kuwa wamejimilikisha mafisadi papa ndani ya CCM - mzizi wa fitina dhidi ya Bashiru unakuwa driven na hilo - wanamtafutia kila mbinu kumukomoa na kumwaribia sifa, bahati nzuri Rais S.S.Hassan unajua viziri ukweli huko wapi ndio maana kampa wadhifa wa kibalozi na Ubunge for a good reason - watu baki ndio wenye maneno chungu mzima ya kutunga tu as if Dk. Bashiru amekuwa involved kwenye treasonable crime!!kwangu hadi achomolewe Ali hapi,chalamila,Sabaye,polepole na gambo asipite tena hapo ntavuta Pepsi bariidi huku nikichangia mijadala ya humu jamii forum,wamewakashifu sana wazee wa chama kuwaambia zama zao zimekwisha,sasa kumbe kibao kimewageukia,wao walimtegemea mwanadamu wazee wakamtegemea mungu,.
Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr.
Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi.
Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya Chama tawala wala Serikali iliyopo madarakani maana viongozi wenzake wangempinga na kumtenga kutokana na imani na itikadi yake ya kuwakomboa watanzania kutoka katika umasikini, rushwa, maradhi na ujinga.
Naamini 100% kwamba Dkt Bashiru pia hakuwahi kufikiria kugombea vyeo vya kisiasa wala nafasi za uongozi.
Hulka yake, uzalendo wake na uchapa kazi wake ndizo tunu zilizomgusa JPM hadi kumuona kama msaada mkubwa katika kurudisha nidhamu ya chama na uwajibikaji wa chama kwa wananchi. Kazi hiyo aliifanya vyema na kurejesha nidhani, Hadji na sifa ya chama katika jamii.
Mafanikio ya Bashiru katika Chama, yalimuaminisha Mheshimiwa Hayati JPM kwamba Bashiru anafaa kuziba pengo LA katibu Mkuu Kiongozi
Hakika ni kwamba uteuzi wa Bashiru kushika Ukatibu Mkuu wa Chama, uliwashangaza wengi kama ambavyo pia uteuzi wa Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi ulivyowashtua wengi.
Leo hii, mheshimiwa Rais Samia ametengua uteuzi huo kwa kumteua katibu Mkuu Mwingine na Kumteua Dkt Bashiru kuwa Mbunge.
Mheshimiwa Bashiru, hiki ni kipimo cha ukomavu na weledi ndani ya kipindi kifupi.
Kuwa na moyo thabiti na utulivu wa nafsi na kukubaliana na hali. Endelea kuchapa kazi kwa weledi, usithubutu kuungana na kundi lolote, simamia msimamo wako.
Tambua pia kwamba, mabadiliko makubwa uliyoanzisha katika chama yamekujengea chuki na uhasama mkubwa kwa mafisadi ndani na nje ya chama. Unapaswa kuchukua tahadhari zote za msingi.
Baada ya mtikisiko mfupi, utazidi kuwa imara zaidi na nyota yako itang'ara. Kila LA kheri katika Majukumu yako ya Kibunge, saidiana na Mh. Polepole kukiimarisha chama na kumuunga mkono kwa dhati Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Uamuzi wake usikurudishe nyuma, Songa Mbele
katbu mkuu ana pesa mingi kuliko mbunge. halaf job security ni kubwa wkt wabunge after 5 yrs hawana uhakikaHivi Ubunge si anatengeneza hela nyingi kuliko huo ukatibu mkuu kiongozi?
kuweni serious jamani
hiv kuna ukweli wowote kuhusu hii issue?
Yeye siyo waziri au naibu hana mamlaka ya kujibu maswali ya nyongeza sana sana akae akisinzia tu, na anywe kahawa na kina Musukuma naye apigishwe story za kina Wema Sepetu.Huyu Bashiru alikuwa na kauli za kuchochea chuki sana ni halali apumzikie huko bungeni akijibu maswali ya nyongeza
Waitu nikwoCC:Bukyanagandi
Ndiyo lugha gani hiyoWaitu nikwo
Sijui, nimeandikatu mim,,,,,Ndiyo lugha gani hiyo
Akakutane na darasa la saba kina Musukuma wakaendeleze chuki.Huyu Bashiru alikuwa na kauli za kuchochea chuki sana ni halali apumzikie huko bungeni akijibu maswali ya nyongeza
Mchezo ule ulikuwa WA kitoto Sana mnachukua majimbo yote halafu mnashindwa kuunda Bunge kulingana na matakwa na Sheria halafu mnaanza kuhangaika kuwatafuta Covid-19. Mama Samia anaonyesha hakufurahiwa Ila hakuwa na namna. Wamelipaka matope Taifa bila sababu yoyote.Sasa wale aliowanunua toka upinzani kwa gharama kubwa wamekuwa maboss wake. Yeye ana kwenda kukaa nyuma ajibiwe maswali yake na kina Waitara. Tamaa mbaya
Ni mtu wa hovyo kabisa bora akakae benchi hukoHuyu Bashiru alikuwa na kauli za kuchochea chuki sana ni halali apumzikie huko bungeni akijibu maswali ya nyongeza
Hao ndiyo size yakeAkakutane na darasa la saba kina Musukuma wakaendeleze chuki.
Mama atakuja kukumbika kujifunika shuka huku kumeshakuchaNi mtu wa hovyo kabisa bora akakae benchi huko
just curious. unaweza prove na documents zozore ama relevant info about urais wake? pls isiwe speculationKwa nini iwe uongo?
Kwani BASHIRU ni Nani katika Nchi hii mpaka ASITENGULIWE? Alitenguliwa Waziri Mkuu Lowassa itakuwa Katibu Mkuu Acheni UshambaWakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr.
Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi.
Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya Chama tawala wala Serikali iliyopo madarakani maana viongozi wenzake wangempinga na kumtenga kutokana na imani na itikadi yake ya kuwakomboa watanzania kutoka katika umasikini, rushwa, maradhi na ujinga.
Naamini 100% kwamba Dkt Bashiru pia hakuwahi kufikiria kugombea vyeo vya kisiasa wala nafasi za uongozi.
Hulka yake, uzalendo wake na uchapa kazi wake ndizo tunu zilizomgusa JPM hadi kumuona kama msaada mkubwa katika kurudisha nidhamu ya chama na uwajibikaji wa chama kwa wananchi. Kazi hiyo aliifanya vyema na kurejesha nidhani, Hadji na sifa ya chama katika jamii.
Mafanikio ya Bashiru katika Chama, yalimuaminisha Mheshimiwa Hayati JPM kwamba Bashiru anafaa kuziba pengo LA katibu Mkuu Kiongozi
Hakika ni kwamba uteuzi wa Bashiru kushika Ukatibu Mkuu wa Chama, uliwashangaza wengi kama ambavyo pia uteuzi wa Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi ulivyowashtua wengi.
Leo hii, mheshimiwa Rais Samia ametengua uteuzi huo kwa kumteua katibu Mkuu Mwingine na Kumteua Dkt Bashiru kuwa Mbunge.
Mheshimiwa Bashiru, hiki ni kipimo cha ukomavu na weledi ndani ya kipindi kifupi.
Kuwa na moyo thabiti na utulivu wa nafsi na kukubaliana na hali. Endelea kuchapa kazi kwa weledi, usithubutu kuungana na kundi lolote, simamia msimamo wako.
Tambua pia kwamba, mabadiliko makubwa uliyoanzisha katika chama yamekujengea chuki na uhasama mkubwa kwa mafisadi ndani na nje ya chama. Unapaswa kuchukua tahadhari zote za msingi.
Baada ya mtikisiko mfupi, utazidi kuwa imara zaidi na nyota yako itang'ara. Kila LA kheri katika Majukumu yako ya Kibunge, saidiana na Mh. Polepole kukiimarisha chama na kumuunga mkono kwa dhati Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Uamuzi wake usikurudishe nyuma, Songa Mbele
Ni hatari sana. Chama tawala ukisifiwa na wapiinzani shtuka. Mama chonde chonde. Ila wananchi wa kawaida wanaona. Asihadaiwe na kushangiliwa mitandaoni.Mama ameanza kujaza wazanzibari wenzake kwenye serikali ya Tanganyika.
Ndio maana tunataka katiba mpya, kila mtu afanye yake.
Kwa hiyo kosa kubwa la Bashiru ni lipi hapo? Kurudisha mali za CCM walizo kuwa wamejimilikisha mafisadi papa ndani ya CCM - mzizi wa fitina dhidi ya Bashiru unakuwa driven na hilo - wanamtafutia kila mbinu kumukomoa na kumwaribia sifa, bahati nzuri Rais S.S.Hassan unajua viziri ukweli huko wapi ndio maana kampa wadhifa wa kibalozi na Ubunge for a good reason - watu baki ndio wenye maneno chungu mzima ya kutunga tu as if Dk. Bashiru amekuwa involved kwenye treasonable crime!!
inamaana zile kauli zake we zikikunogea?Kwa hiyo kosa kubwa la Bashiru ni lipi hapo? Kurudisha mali za CCM walizo kuwa wamejimilikisha mafisadi papa ndani ya CCM - mzizi wa fitina dhidi ya Bashiru unakuwa driven na hilo - wanamtafutia kila mbinu kumukomoa na kumwaribia sifa, bahati nzuri Rais S.S.Hassan unajua viziri ukweli huko wapi ndio maana kampa wadhifa wa kibalozi na Ubunge for a good reason - watu baki ndio wenye maneno chungu mzima ya kutunga tu as if Dk. Bashiru amekuwa involved kwenye treasonable crime!!