voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
#Shaka!
Usituongopee..
Elewa kwamba..
Dkt Bashiru ndie Amepiga Nyundo kwenye Mzinga!
Hadi "Malkia wa Nyuki"ametoka Nduki! Amewakumbuka walamba Shubiri kule Site!
Sasa kinachoendelea ni kujitetea Mikoani!
#Shaka!
Unawaongopea wananchi ambao tayari wanajua ukweli kwamba Dkt Bashiru ndie kawatoa Nyinyi Pangoni?
Asante Dkt Bashiru kwa kuikumbusha CCM kumwambia Mwenyekiti wao,awatembelee wananchi huko Site!
Asante Dkt Bashiru kwa kumkawiza Kidogo Mwenyekitu ili walau atulie nchini ili na atimize majukumu ya wapiga kura huko site!
Ingawa huko ziarani CCM wanaongea wao viongozi tu!,bila kuruhusu wananchi nao wawaambie Ukweli wa Shida na Matatizo yao hadharani!
Kwa mtindo huu,kwa Povu hili,kwa tamaa yenu ya Uongozi,kwa Ununda wenu kuziba Masikio!
Sasa tumeanza kuwajulia taratiibu!
#Heche nae nimemuona ameanza vizuri na #Makamba...
Mtaelewa kwamba "Mnatawala" badala ya "Kuongoza".
#BashirusioNdugai!