We mzee kila kitu makafara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lazima afanye hivi kuna kafara lake naweza kumsaidia...kafara la kutengua kauli au kiapo[emoji848][emoji3]
Hata mzee wa prof Kabundi.. kapoteza mambo ya nje ni tamu sanaKwa hiyo Looser katika sarakasi zote hizi ni Dakta?
Ndio zinaendesha dunia...engine ya duniaWe mzee kila kitu makafara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Amenigusa na mimi nimejikuta natafakari baadhi kauli nilizowahi kuzinena juu yangu.Ndugu Mshana Jr una upeo mkubwa sana wa mambo ya kiroho kwa pande zote mbili.