Dkt. Bashiru Ally aweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la kisasa la ghorofa moja la ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Manyara


Nyie wenye CCM wekeni muone aibu. Ofisi iko Soko Matola, Mtaa wa Wageni, nyumba namba 2
Hatuoni Bendera wala jina la CCM, ila tunaona maandishi ya kutengeneza na Computer kwenye hiyo nyumba..!!!
Chadema kwanini mnapenda kupotosha?
 
Ingia Google maps tafuta ofisi ya CCM Mkoa utaiona aseeeee
Acheni upotoshaji Chadema kama hamna taarifa zakueleweka ni vyema mkakaa kimya.
Mwisho wa siku watu watakua wanawapuuza tu kwa huo upotoshaji.
Ila ni kweli ofisi zenu zina matatizo sana, sijui hata vikao vyenu vya chama mnafanyia wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…