Dkt. Bashiru Ally aweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la kisasa la ghorofa moja la ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Manyara

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
659
1,000
Shughuli Hiyo imefanyika leo Babati Mkoani Manyara na Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa.

Jengo hilo la Ghorofa moja likikamilika litakuwa na Ofisi mbalimbali pamoja na Ukumbi wa Kisasa wa Mikutano.

Matumizi sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Chanya Kwetu Sote

20201025_203933.jpg
20201025_203947.jpg
 
Ngorunde

JF-Expert Member
Nov 17, 2006
2,187
2,000
Vyama vingine viige mfano huu.

Sio lazima kujenga ghorofa, hata room 3 ingekuwa mwanzo mzuri.

Ni aibu chama kina umri mkubwa bado kinakodisha ofisi. Inatia mashaka vyama hivyo vinapoomba ridhaa ya kuongoza na kujenga NCHI wakati ofisi tu inawashinda kujenga!

Nunueni hata kiwanja basi tujue mmeshindwa kujenga ili wanachama wenu wachukue jukumu.
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,599

Hakika.
Ek_5wfHXgAE9ROj.jpg
 
IFRS

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
2,572
2,000
Vyama vingine viige mfano huu.
Sio lazima kujenga ghorofa, hata room 3 ingekuwa mwanzo mzuri.

Ni aibu chama kina umri mkubwa bado kinakodisha ofisi. Inatia mashaka vyama hivyo vinapoomba ridhaa ya kuongoza na kujenga NCHI wakati ofisi tu inawashinda kujenga!

Nunueni hata kiwanja basi tujue mmeshindwa kujenga ili wanachama wenu wachukue jukumu.
Wanakodisha kwa bei kubwa kuliko uhalisia
 
residentura

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
3,500
2,000
Chadema ofisi yao taifa kama banda la kuku
Kama ofisi ya Taifa ya CHADEMA ni kama banda la kuku,basi maana yake Watanzania wengi, hata wale wenye kipato cha kati wanaishi kwenye mabanda ya kuku.

Maana yake asilimia kubwa ya Watanzania ni hohehahe.

Maana yake uchumi haukui.

Maana yake kuna kila sababu ya kuikataa CCM inayofanya Watanzania wengi waishi kama kuku.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
106,933
2,000
Majengo mazuri ya chama ingekuwa ni dalili ya Maendeleo basi Bongo ingekuwa kama Ujerumani au UAE lakini kuongeza mishahara tu shida, wakulima na wafanyabiashara wanadhulumiwa billions na hii Serikali dhalimu.
 
mitindo huru

JF-Expert Member
Apr 26, 2016
1,354
2,000
Sugu kumbe muongeaji tu!
Hao Chadema ni matapeli ndio mana wanapotosha kila jambo zuri linalofanywa na Magufuli.

Ila uzuri ni kwamba watanzania wote wazalendo wameshamuelewa Mh Rais Magufuli.

Hivyo sasa ni mwendo wa Magufuli mitano tena
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom